Shark & Madame B hawa hapa!!

Shark & Madame B hawa hapa!!

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,991
Reaction score
30,188
Wadau,

Kwa wale ambao hawawajui Shark na Madame B, basi leo nimeamua kuwaletea picha zao muwaone.

Shark & Madame B.jpg
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ni Madame B huyuhuyu ambaye nilimpa tiba ya asili iitwayo pakajimycin kule Tanga, eneo la Chumvini, au mwingine?

Tena PJ nlikua nakutafuta sana.
Anyway, yale yalishapita. Hii picha imepigwa jana thru kamera ya kutegeshewa!!
 
Madame B kuja pande hii, kuna picha zenu za valentine huku
 
Last edited by a moderator:
Madame B kuja pande hii, kuna picha zenu za valentine huku
Msinambie siku hizi Valentine imerudishwa tarehe nyuma hadi 06.02.2013!!
Kweli uzee si ugonjwa na hakika Ujana maji ya moto!
 
Last edited by a moderator:
Msinambie siku hizi Valentine imerudishwa tarehe nyuma hadi 06.02.2013!!
Kweli uzee si ugonjwa na hakika Ujana maji ya moto!

Wewe huelewi,
Hii alikua anazijaribu tu, huoni kama anazivua baada ya kujaribu??
 
Last edited by a moderator:
Au ni macho yangu?
Naona mmojawapo hapo tayari keshaanza kusaula buti then what next ?
 
Ni Madame B huyuhuyu ambaye nilimpa tiba ya asili iitwayo PakaJimmycin kule Tanga, eneo maarufu la Chumvini, au mwingine?
Kiutu uzima hapa ni lazima niite wazee wanishauri cha kufanya, na kwa kuanzia tu taarifa hizi ziwafikie Arushaone, KOKUTONA watu8, Filipo, Blaki Womani, Mwanyasi, Preta, marejesho, Lily Flower na Smile

Mhhhhh! Haiwezekani kabisaa, haiwezekaaani. Madame B wamemsingizia, sio yeye bhan. PakaJimmy kusoma picha ushindwe hadi kuangalia maandishi pia?
 
Last edited by a moderator:
Madame B kumbe za kwenye mabenchi wakati disikasheni pale nkhuruma ulipata alama 99% Shark na wewe kumbe wakati tunakuacha ktk mabenchi ulikuwa unapata mafunzo ya kujistili wakati pesa ya guest imekaa upande?sawa nimekubali?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom