Sharabaro afa kwa mabomu

Dr wa ukweli

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
900
264
Masikini sharabaro afa kwa mabomu huko gongo la mboto......mabomu yalipoanza alisikika akisema "hey mamen siwezi kukimbia bila kuoga" ......knye kuokoa wakakuta vipande vya mkono vimeshokilia kopo la shampoo na scrab.:wink2:
 
Umenikumbusha nikapate lunch nisije kufa na njaa kwa kuvunja mbavu, i love this
 
Masikini sharabaro (shallow bottle) afa kwa mabomu huko gongo la mboto......mabomu yalipoanza alisikika akisema "hey mamen siwezi kukimbia bila kuoga" ......kwenye kuokoa wakakuta vipande vya mkono vimeshokilia kopo la shampoo na scrab.
 
that is so original, short and current...imenichekesha
 
sharobaro ndio nini?mbona hueleweki? kiswahili kinakua kila siku jamani?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom