Shaq awaambia watoto wake watafute mali zao

Mbona hasira sana kwa mambo madogo basi mali zako ukifa watoto wako watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipi
Mtapewa, lakini sio ndio mnajilaza vibarazani mkijamba jamba kusubiri urithi wa nyumba Kariakoo, fanyeni kazi mpate vyenu, mtakuja kufa nyinyi muache wazazi wenu wakila jasho lao.., msiomnee vifo wenzenu kisa mali za urithi..
 
Ametafuta pesa ya kula na GF wake
shaq.jpg
 
Mtapewa, lakini sio ndio mnajilaza vibarazani mkijamba jamba kusubiri urithi wa nyumba Kariakoo, fanyeni kazi mpate vyenu, mtakuja kufa nyinyi muache wazazi wenu wakila jasho lao.., msiomnee vifo wenzenu kisa mali za urithi..
Mbona hasira sana kwa mambo madogo watoto wako wamekataa mali zako wamesema ukifa watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipi
 
Sisi nchi za dunia ya tatu tunazidi kuwa masikini kwasababu ya kudhani kwamba baba yako akiwa na mali, basi mali hizo ni zakwako! Badala ya kila mtu kufanya kazi kutafuta mali zake, tunakaa kukodolea macho mali za wazazi.

Mimi nna rafiki yangu mzungu ke alikua anataka kununua apartment. Baba yake alikua na apartment akamuambia leta hela nikuuzie. Ikabidi dada akakope mkopo benki aje anunue hiyo nyumba ya baba ake!

Ingekua ni huku kwetu ungekuta dada kabweteka anasubiria mzee afe airithi.
 
Mbona hasira sana kwa mambo madogo watoto wako wamekataa mali zako wamesema ukifa watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipi
Mimi watoto wangu hakuna aliyevuka miaka 10 na nawaandaa kutafuta vyao, wasije wakaniombea kifo cha mapema baadae .., 😂, tafuteni vyenu aisee
 
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO

Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.

Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
View attachment 2936962
Kwa afrika huku wangemuua wanae ili wagombee urithi huo
 
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO

Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.

Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
View attachment 2936962
Utakuta keshawamegea ila anataka tu wasibweteke. Pia kwenye mali hizo angeanzisha family business
 
Mtapewa, lakini sio ndio mnajilaza vibarazani mkijamba jamba kusubiri urithi wa nyumba Kariakoo, fanyeni kazi mpate vyenu, mtakuja kufa nyinyi muache wazazi wenu wakila jasho lao.., msiomnee vifo wenzenu kisa mali za urithi..
Kujilaza !? kwani nan alimtuma azae watoto ? Angebaki mwenyewe mpaka akafa .
kulikuwa na ulazima gani kuwaleta watoto kweny dunia ya tabu?
 
Kizaa kumewekwa automatic pia, sio kila anayezaa anataka kuzaa watu just wanafanya ngono tu kuzaa kunajitokeza siounaona mimba zisizotarjiwa
Unapozaa unabidi kujua ni wajibu wako kumuandalia mtoto future nzuri.

Ikiwemo kupata Elimu nzuri.
Kumpa maarifa sahihi.
Kumsapoti kihisia anapokuwa down

Urithi mzuri ,nyumba ardhi mashamba na biashara.

Sio mnakimbilia kuzaaa zaa tu we umekuwa Panya
 
Upo sahihi, jibu langu halihusiano na hoja yako
 
MIMI NDIO TAJIRI WATOTO WANGU WATAFUTE PESA ZAO

Nyota wa zamani wa #NBA , #ShaquilleRashaunO'Neal amewachana watoto wake sita kuwa Pesa alizonazo na Utajiri alionao sio wao bali ni wa kwake hivyo na wao wajitafutie pesa zao.

Mpaka sasa Shaq anakadiriwa kuwa na utajiri wa zaidi ya Sh.Trilioni 1 na anaamini kuwa pesa hizo amezitafuta yeye na sio watoto wake kauli yake kwa watoto wake ni "Sisi sio Matajiri, Mimi ni Tajiri" kauli ambayo watoto wake hawapendezwi nayo.
View attachment 2936962
Hizo pesa ataweza kuzimaliza? Awafungulie watoto wake miradi na kuwaongoza. Mwisho wa siku litakuja kufa, halafu ndugu wanakuja kugawana kwa kuwahujumu watoto wake, sasa yote hayo ya kazi gani kama si ujinga.
 
Back
Top Bottom