FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,204
- 40,924
Mtapewa, lakini sio ndio mnajilaza vibarazani mkijamba jamba kusubiri urithi wa nyumba Kariakoo, fanyeni kazi mpate vyenu, mtakuja kufa nyinyi muache wazazi wenu wakila jasho lao.., msiomnee vifo wenzenu kisa mali za urithi..Mbona hasira sana kwa mambo madogo basi mali zako ukifa watoto wako watakuzika nazo kwenye kaburi na jeneza lako,, vipande vya magari, nyumba, madirisha, nguo, fedha, saa , mabati ya alaf, nondo, n.k..hapo vipi