Shape nzuri ya mwanaume inayovutia ni ipi?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
1,572
Reaction score
3,863
Mwanamke huangaliwa kama hips kifua n.k kifupi namba 8, je shape ya mwanaume inayovutia ni ipi? Yani ambayo unaweza sema perfect man.

N. B usifananishe uanaume na kua rough.
Kua na ngozi laini si kosa.
Kunukia sio kosa
Kua na sura nzuri sio kosa.
 
Mwanaume asifiwi Kwa uzuri wa umbo Wala sura hizo ni sifa za kike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…