Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,852
Yuko ka wale wenyeji wa "ndorooooboooo, si bora hiyo hela ukanunue gazeti ujipepeee"!
mekuuu
Yuko ka wale wenyeji wa "ndorooooboooo, si bora hiyo hela ukanunue gazeti ujipepeee"!
Hiyo shape kaiumba Mungu au umeumbwa na ma burgers plus unhealthy eating and lack of exercisesJamani mbona munamkufuru Muumba wenu, kwani yeye amejiumba mwenyewe?
Angalieni musije pata laana.
Masikini kamkosea nini Mola wake?ipe maneno...............................
![]()
Mmmmmhhhh! Jamani hizi shepu hiziii.
huyu lazima mchagga
anapendelea kufanya mazoezi kuanzia kiunoni kushuka chini