Kwa hakika watu wametapakaa kwenye shopping kubwa zote za mjini Kwa maeneo niliyotembea mpaka SASA nipo mlimani city hakuna parking kila eneo limejaa gari ndani watu ni kibao, nimetembea kariakooo hakuna sehemu ya kuweka mguu, vilevile maduka kama vunja bei yamejaa kwelikweli hakuna sehemu ya kukanyaga, foleni Kwa barabara ya traaa, shekilango, samujoma, n kubwa mno, hakika Mkuu WA mkoa ana kipaji cha ajabu cha kushawishi.