Jionee mwenyewe, utatamani nawe uende hijja:
View: https://youtube.com/shorts/Qjlu_7NlaNQ?si=DiHE2dJo82Qujlfh
Ni upi muhuri usio mwema?Uislamu ni mhuri mwema katika moyo.
Hata kama kuna chembe ndogo ya Uislamu ktk moyo wako, iko siku itachipua na kukufanya urejee katika njia za kheri.
Tufundishe watoto wetu kumjua ALLAH , hata kama watakengeuka sababu ya ujana maji ya moto, ipo siku insha ALLAH ule mhuri wa uislamu ulio katika mioyo yao itawarudisha ktk mstari.
Mimi ni Mkristo ila nimeipenda hii.Uislamu ni mhuri mwema katika moyo.
Hata kama kuna chembe ndogo ya Uislamu ktk moyo wako, iko siku itachipua na kukufanya urejee katika njia za kheri.
Tufundishe watoto wetu kumjua ALLAH , hata kama watakengeuka sababu ya ujana maji ya moto, ipo siku insha ALLAH ule mhuri wa uislamu ulio katika mioyo yao itawarudisha ktk mstari.
Ok sawaAlhamdulillah, mateka wangu nilimteka miaka 45 iliyopita na bado namlinda usiku na mchana.
Mimi ni Mkristo ila nimeipenda hii.
Mungu awasaidie katika makuzi ya watoto wenu pia.
Insha ALLAH