SHANGAZI VS MJOMBA??

SHANGAZI VS MJOMBA??

Duh usinikumbushe, kuna mjomba wangu mmoja mizinguo kinoma, kuna mama yangu mdogo alijifungua mtoto wakiume akaona ampe Jina lababa yake ambaye anakuwa nibabu yake na mtoto duh uncle wangu aliwaka kinoma eti akasemaje 'sasa nasisi tutakuja kuwapa watoto wetu majina gani kama ndio hivyo', Nilikuwa so young but mpaka leo naikumbuka hiyo kauli yake
 
kwa upande wangu aisee mashangazi wanajali sana tenazaidi ya sana wapo tayari kuacha kila kitu asimame nami kwa namna yoyote ile ninapopata shida.
 
Back
Top Bottom