Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

Hicho kimama kikae Kimya kimeona kwa sasa mtawala ni wa kundi lake kimeanza kunyanyua kimdomo chake mbona wakati wa JPM kilikuwa kila siku kinapost vitu vya hovyo tu mtandaoni?kwa kuwa anayetawala ni muislamu mwenzake tena Mzanzibari ndo kinajua kukenua somo lake.kitulie
 
Kwani CHADEMA wamefanya nini?
 
Malalamiko ya Fatma hayahusiani na tamko lolote la Lema. Fatma amekasirika kwa nini wakina Martin wamehoji kauli ya Bashe kuwa sukari itapatikana kabla ya mwezi wa Ramadhani. Yeye akaona kuwa Bashe anahojiwa kwa sababu ni muislamu na kuwa ni uthibitisho kuwa CDM hawafurahii jambo lolote linalowafaidisha waislamu. Anacho sahau ( kwa makusudi) ni kuwa Martin si msemaji wa CDM. Na alichouliza kimetokana na Bashe kuingiza suala la Ramadhani katika juhudi za kuondoa uhaba wa sukari. Kuna waliosema mbona waziri wa nishati aliyekuwa mkristo aliwahi kuwaagiza Tanesco wasikate umeme siku ya Krismasi na hamna ambae alilalamika. Mimi sidhani kama mtu unaweza kulinganisha nafuu ya siku moja na hii ya kuondoa kabisa kero iliyoendelea kwa muda mrefu. Waziri aliteleza. Angesema tu sukari itapatikana ndani ya wiki moja bila kuingiza suala mfungo wa dini moja. Kwa kusema hivyo kunakaribisha maswali kuwa kama ni rahisi hivyo kwa nini hakuhakikisha sukari inapatikana wakati wa Kwaresima? Ni tatizo la kujitakia na Fatma should know better kuliko kuongeza kuni kwenye suala la udini.

Amandla...
 
Mgao wa Umeme Mfumuko wa Bei Maisha yako Juu Maji hayatoki halafu wewe unaleta upuuzi?
 
yeye mpaka kufikia kuwapa label Chadema ni wadini baada kuona nini hasa?

atuelezee ameona nini mpaka kufikia hiyo characterization

halafu ndio tutoke hapo twende mbele na accusations
 
Fatma Karume ndiye mwenye udini na ukanda. Watu wenye taaluma kama yake wametoa maoni yao kuhusu Bandari. Yeye alinyamaza kimya kwa vile Samia ni dini yake na anatoka kwao...mdini na mkanda. Aache ujinga na upuuzi
 
Baada tu ya Hangaya kukutana na Papa naona sasa ccm wameamua kuungana na mtetezi wa mashoga Kwa kisingizio Cha Chadema ni wadini.
 
Fatma ajiandae kutukanwa kwasababu nyumbu huwa wanamuogopa mmiliki wao tu Mbowe. Hata yeye walishaanza kumtukana ikabidi awanywee mizinga kadhaa ya Konyagi na kwenda kuwanyea kwenye mkutano wa hadhara huko Mwanza. CHADEMA sio mbadala wa CCM na haitakaa itokee kuwa mbadala wa CCM. Wao washindane na ACT kugombea nafasi ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
 
CDM ni janga kwa nchi jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…