SHANGA 40 kiunoni, jamani ndo nini sasa??

SHANGA 40 kiunoni, jamani ndo nini sasa??

Nilishawahi kukutana na TA line fulani, the number was 42!. Alikuwa ana V shape ya mbinuko!, hivyo hizo shanga kila moja ilikuwa na size tofaiti hivyo zikajipanga kama shape yake ilivyo bila kupandiana, bila kulaliana bila kupishana!.

Kusema ukweli mambo haya ni atitude of mind tuu hayana uhusiano wowote na performance, zipo kelele genuine za moaning na zipo kelele za wizi!. Pia shanga ziko za aina mbali mnali kama hizi

Shanga nyingi: Mpandano, Mpishano, Muachano,Mbanano,Mgandano,Mshikano, Mbebano, Mpitano, Mgongano, Mshonano, Mbebano, Mfanono etc, etc, nakuwekea baadhi ya mifano hapo chini.

Kusema kweli wengine tukikumbuka ujana!, we don't regret kwa sababu tuko hai mpaka leo kwa neema tuu ya Mungu!, wenzetu wengi kilichobakia ni kibao tuu cha RIP!.
Pasco.

Pasco wa JF kwa data uwa nakukubali sana kumbe hata huku uko vizuri nilijua kule siasani tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom