Shamsi Vuai aingia Zanzibar Kimya Kimya

Shamsi Vuai aingia Zanzibar Kimya Kimya

mrelbattawy

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2013
Posts
564
Reaction score
112
Ni baada ya kupigwa na chini kule dodoma ameamkia Zanzibar Leo Alfajiri majogoo kimya kimya., Tanganyika wamemuangusha na Zanzibar ndo ivyo tena Mamlaka kamili kila pembe., Ameumbuka kisiasa.,
 
Mi nilishangaa sana Wizara ya Wakakamavu kama ile apewe mdebwedo kama huyu! Dah, ama kweli mkubwa wa nchi hii ni dhaifu!

alijulikana kabla lakin wakati ule hakukuwa na jinsi ilibidi ni lazima apate fupa abenye vyenginevyo angeichana ccm walihofia ivyo.,
 
Atapewa uwaziri mkuu, na urais 2015 anataka pia
 
Sasa takwenda hubiri issue za muungano ili apate ulaji mwingine.hawa njaa zao zimezidi na kuwa addiction kuliko routine.
 
Mwache akafe mbele huko!
Wazenji wenyewe hawampendi!
...
Kudadadeki maCCM ya Zanzibar 2015 lazima kieleweke!
 
lazima aende maana hana pa kuishi..si alikuwa anaishi hotelini huyu( new africa)....sasa kama amepigwa chini hana pa kufikia huku bala....wacha aende
 
JK hebu fanya makeke unda baraza zuri lenye nidhamu na adabu
wawe 30 wanatosha tunataka miaka yako ilobaki kuwe na mabadiliko makubwa kila mtu akushangae
tatizo sio CCM tatizo ni mfumo na watendaji wako
Mrudishe Salimu A salimu mpe ubunge na uwaziri
 
hapana, hapana, hapana, muacheni huyo mzee apumzike jamani, kha
 
Back
Top Bottom