Shamsi Vuai aingia Zanzibar Kimya Kimya

Shamsi Vuai aingia Zanzibar Kimya Kimya

Hivi huyu hamaa ni Mbunge wa Viti Maalum kama Mbatia au ni wa kuchaguliwa???
Sasa sijui atahudhuria Baraza la wawakilishi mie hata sijuj....
 
My friend. We mmbea na mnafiki mkubwa. Huwa wengine wanaingia je? Acha ubaguzi

Mulikuwa munamtumilia kuisaliti Zanzibar kwa manufaa ya Tanganyika sasa mumemuangusha kwa nn asije kimya kimya? Kama vipi endelea ww kumlipia hoteli pale New Africa ili aendelee kubaki huko.,
 
alipokuwa waziri kiongozi wapemba waliuwawa kama wanyama ni mzoefu wa damu za watu lakini katika hili rais ameshiriki kwani kwa mujibu ya sheria majeshi ya ulinzi awawezi kushiriki katika operation ya ndani bila idhini ya amirijeshi mkuu yaani rais
 
Back
Top Bottom