Shamsi Vuai aingia Zanzibar Kimya Kimya

Shamsi Vuai aingia Zanzibar Kimya Kimya

Ni baada ya kupigwa na chini kule dodoma ameamkia Zanzibar Leo Alfajiri majogoo kimya kimya., Tanganyika wamemuangusha na Zanzibar ndo ivyo tena Mamlaka kamili kila pembe., Ameumbuka kisiasa.,

mkuu mwache akapumzike na kodi zetu zile alizokuwa anazitumbua pale new africa zikahudumie elimu ya watoto wa kitanzania
 
JK hebu fanya makeke unda baraza zuri lenye nidhamu na adabu
wawe 30 wanatosha tunataka miaka yako ilobaki kuwe na mabadiliko makubwa kila mtu akushangae
tatizo sio CCM tatizo ni mfumo na watendaji wako
Mrudishe Salimu A salimu mpe ubunge na uwaziri

Mkuu matusi hayo! Mh. Dr. Salim A. Salim gwiji aliyewahi kuwa waziri mkuu, Katibu Mkuu OAU na founder wa AU leo hii apewe uwaziri! Tuacheni fedheha. Hata huyu mama aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu UN kupewa ubunge wa viti maalumu ni sawa na akutukanae hakuchagulii tusi.
 
bado atatumikia ubunge wa kuteuliwa, kama alivyo J Mbatia.
Kama ana mchango ktk kuiendeleza nchi hii, bado ana nafasi kabisa, labda tu kama hawezi.
 
My friend. We mmbea na mnafiki mkubwa. Huwa wengine wanaingia je? Acha ubaguzi
 
Sijaelewa wakuu hapa. Waziri aliishi hoteli? Kivipi waziri wa ulinzi aishi hotelini? tatizo?

lazima aende maana hana pa kuishi..si alikuwa anaishi hotelini huyu( new africa)....sasa kama amepigwa chini hana pa kufikia huku bala....wacha aende
 
Liwalo na liwe. Aingie kimya kimya au kwa kupiga kelele, liwalo na liwe-afukuzwe tu.
 
Vuai kupewa hyo wizara nilishangaa sana. CCM Zanzibar humtumia kwenye kampeni kuwatukana CUF kwani ndo fun yake hasa ukizigatia wamakunduchi wasivyo tofauti na wazaramo.
 
Huyu waziri alivyolegea hakufanana kabisa na wizara aliyopewa
 
Mie namkumbuka tu kwa zile style za ving'ora huku akiwa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
 
Shamsi sehemu yk ya kazi ni Dodoma tu na alijuwa bos wake kikwete hatamuangusha., mana alikuwa muumini wa kuiuza Zanzibar kwa Tanganyika sasa aemdelee kuwa kibaraka wa Muungano huu uliopo, mana alikuwa haamini kama Tanganyika wanaibeza Zanzibar.,
 
Huyu jamaa mm naona kapata ajali ya kisiasa tu bt yupo imara sana na cuf wanamuogopa sana yeye na bilali ndio wababe wa siasa za unguja...naskia alkua anautaka urais ndcho kilchomponza
 
Ni baada ya kupigwa na chini kule dodoma ameamkia Zanzibar Leo Alfajiri majogoo kimya kimya., Tanganyika wamemuangusha na Zanzibar ndo ivyo tena Mamlaka kamili kila pembe., Ameumbuka kisiasa.,

Cheo ni dhamana sitakitumia cheo changu wala cha mtu mwingine kwa faida yangu... Kweli Mheshimiwa Nahodha ni watu ambao hawatasahau siasa za Bongo... lakini hata Mhe. Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi naye alishawahi kujiuzuru uwaziri wa mambo ya ndani lakini haukuwa mwisho wake ki siasa...
 
Tuone na yeye.....
 
Na huyu Samia suluhu mbona bado anaendelea? kwnn wasikunje virago na Nahodha?
 
Back
Top Bottom