Omerta
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 6,156
- 7,807
š š š Nimecheka sanaNimezistudy sura zao nimebaki kufurahi!
Sura ya hakim umejaa bashasha na furaha,haina wasiwasi,ukiingalia vizuri Kabla hatujajua mipango yake tungesema Hakim kakamatika Sana na bi dada Yuko I loveš¤£š¤£kumbe ulikuwa bashasha ya kutokuwa na wasiwasi wowote
Upande wa bidada sura yake imekaa kimkakati Sana yaani unamuona kabisaaa Kuna mipango kichwani mwake humoš¤£bahati mbaya mission impossible


