Shameful!

I am increasingly convinced that the problem 'eating' our country is not a hopelessl eadership, but rather, a hopeless citizenry!

Right on! right on! The main problem is us! I have said it many times in the past. FMES has also echoed it many times. Too bad and too sad.
 
Hivi wakuu, wakati hawa wakipopoana huko Dodoma, vi wapi vyama vya upinzani, ilvi vitake advantage of this window of opportunity?

Unajua hao walioko CCM hata wakitaka kuondoka, waende wapi? Kwenye chama kipi hasa kilicho makini kuleta mabadiliko?

Angalia, kwa mfano, wakati haya yanatokea, Maalim Seif alikuwa Ikulu Zanzibar 'wakinywa kahawa' na Raisi Karume...wanajadili umuhimu wa amani na maelewano!

Mkulu wetu Zitto, ambaye tunamwamini angeweza walau kupaza sauti mjengoni, ndo yupo kwenye sijui international parliamentary meeting sijui nini-alituambia mwenyewe hapa. Mtu unajiuliza, hivi hawa viongozi wa upinzani wanayaona haya kweli? wanajua ni wakati gani wa kutake action na kumobilise watu? Au ndo bado wana ile kasumba kusubiri wakati wa uchaguzi huku wakijua kua kwa mbinu hiyo hakuna kitakachobadilika?

Mi nshachoka sasa!
 
Inaboa sana. yaani tunakaa watu wazima tunaweka mategemo yetu kwa watu wanaoitana kutukanana. Tumekuwa wajinga mno; yaani hii mijamaa kila mara ikiitana Dodoma sisi tunatega masikio as if wanaenda kufanya jambo la maana. Wanatupiga changa la macho, tunabaki kubishana, tunawasubiri tena, wanaenda, tunaacha shughuli zetu tunaanza kuwasikiliza, wanatukananaaaa weee, wanarudi zao, uchaguzi ukija tunawachagua-now who is stupid, wao au sisi?Kimsingi tumekuwa wajinga maana tunawasikiliza vichaa wakirushiana makopo barabarani.

Lol...Kitila...sijawahi kukusoma umekasirika hivi.

Haya muone huyu mwingine kaitisha mkutano wa waandishi wa habari kuutangazia ulimwengu jinsi naye alivyo CCM damu tangu 1977, kana kwamba hilo nalo ni jambo jema, na sisi tunakaa tunamwona yeye ni mjanja na ana akili kuliko Sofia Simba,

Yeah..as if being a CCM member is a badge of honor. So stupid!

common guys, we should stop this.

Yes we should

Kama wametushinda na tumeona hatuwawezi, hebu tubaki tufanye kazi tulizosomea ili familia zetu zisife njaa,.Lakini siamini kwamba hatuwawezi, tunawaweza. Tunawaweza kuwafukuza CCM madarakani tukitaka. Tuanze kuchukua hatua, na hatua ya kwanza ni kuacha kuwategemea na kuweka matumaini yetu kwao.

Yep...dawa pekee ni kuwatoa mkuku hawa CCM la sivyo tusitegemee lolote jipya toka kwao. Ila kuna wataokuja na kukwambia eti ni CCM pekee yenye uwezo wa kuunda serikali. Hilo sikubaliani nalo.
 
Well Gentlemen. There is a guy in this forum goes by name of Julius. Although some have been trying to ridicule his ideas, but when it come ot the Point of "ndivyo tulivyo" we have to bow to him. He keep on saying it again and again, and we keep on proving him righ again and again.

Viongozi wetu tunajua kabisa kuwa wanayotufanyia sio haki, lakini tunafanya nini kuhakikisha kuwa 2010 tunakuwa na wengine na sio hawa wa sasa? Does talking on this forum only help? tunatakiwa kwenda a step forward na kuwaelimisha watu that we have to go for change.

Wanaokataa wako kwenye denial tu lakini chini ndani ya mioyo yao wanajua ninachosema ni kweli au kina chembe ya ukweli flani na ndio maana wanakuwa wanakataa kwa sababu mara nyingi UKWELI UNAUMA!!

Kama Sivyo Tulivyo inakuwaje sasa hata umeme kwenye shule za msingi hakuna? Inakuwaje hata madawati na viti hakuna? Kwani tunahitaji mtu kama Einstein kutengeneza madawati? Miafrika please....prove me wrong Miafrika, prove me wrong.
 
Inasikitisha sana kuona vijana wanapata ajira serikalini halafu bila kutendewa haki mnawafukuza kwa makosa yenu wenyewe.Jeshi la magereza walitangaza nafasi za kazi ambapo walitakiwa wasomi na wengineo.Tulijitokeza kufanya interview na baada ya wiki mbili majibu ya tuliofanikiwa yakatoka.Tukaweka kambi chuo cha maofisa UKONGA na kufanyiwa vipimo vyote mbavyo vinatakiwa.Ninaposema vyote namaanisha vyote.Baada ya hapo tukapewa majibu yetu na kujiandaa kwa ajili ya kwenda kiwira kwa mafunzo.Tukaenda mafunzoni tukiwa tunajua tumeajiriwa na serikali kwani walituhakikishia kuwa tayari rumepata ajira.Sasa ndugu zangu ajabu ni kwamba baada ya kuanza mafunzo kule kiwira kwa miezi miwili,wanakuja haohao waliotuambia tumeajiriwa,wanakuja na kuwafukuza wenzetu kwa kigezo cha matatizo ya afya.Ndugu zangu,hawa watu walitupima wote na kutupa majibu kulekule UKONGA kabla ya kwenda mafunzoni.sasa kama sio njama za kuwatoa wenzetu na kuwaweka watu wao ni nini? Kwanini hawakusema mapema?Kweli ni haki iliyotendeka hapa.? Kuwapeleka watu mafunzoni wamehangaika miezi 2 halafu mnawafukuza kwa makosa yenu nyie?? Wana JF hapo pako sawa? Mbaya zaidi wengine wametolewa kwa kisingizio cha kuwa wanaumwa macho,wakati walipimwa na kuridhika nao...Serikali inatupeleka wapi???
Mkerekwtwa
 
The days of CCM are gone not numbered. A lot have been written by patriotic Tanzanians that, this countryis being eaten by the so called state sponsored corruption.

We all know that here in Tanzania the word 'state' connotates 'CCM', that's to say CCM as a state party have been behind all bic scandals in this this country.

It is so unfortunate that thieves and corrupt individuals within CCM today have been able to elevate themselves as heroes of the nation. These are the ones whom we call them 'wapiganaji' 'makamanda wa ufisadi' 'mashujaa' and all the good names. incerely speaking our true heroes are not those ones. I cry for my mother Tanzania.
 
Si mmeona matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa majuzi? CCM imeshinda kwa kishindo cha 93%

Sisi wananchi wa Tz ni mataahira watupu. Samahani kwa lugha hiyo.

Come on 2010 general election, CCM shall win again!
 
...... Yep...dawa pekee ni kuwatoa mkuku hawa CCM la sivyo tusitegemee lolote jipya toka kwao. Ila kuna wataokuja na kukwambia eti ni CCM pekee yenye uwezo wa kuunda serikali. Hilo sikubaliani nalo.
Mkuu nimekusoma, umetoa maoni ya kizalendo.

Unajua bado wapinzani wana fikra mgando kwa kutokuja na mikakati tekelevu ili tuwaamini, sana sana wanatoana macho kugombea usultani ktk vyama vyao. Wizi mtupu.

Dawa ni kuwatoa mkuku hawa shameful perfomers
 
Probably, we put our hopes so high on these guys, I mean we are simply expecting too much of them, which is why we keep on being disappointed every day. Isn't time that we stopped putting our hopes on them? Hasn't time come to start seriously thinking of an alternative?

To me I would rather say shame on us for continuing to bank on people who are not bankable. I am increasingly convinced that the problem 'eating' our country is not a hopelessl eadership, but rather, a hopeless citizenry!

Kitila. It is not about hope or trust.. it is about expecting grown ups will act as grown ups or even pretend even for a mere show of being grown! I'm not looking at them as politicians but thinking that these people have families, kids, and some people who call them "baba, mama, shangaza, mjomba"! It is not about the politics side of it but the human side of it.
 
Wanaokataa wako kwenye denial tu lakini chini ndani ya mioyo yao wanajua ninachosema ni kweli au kina chembe ya ukweli flani na ndio maana wanakuwa wanakataa kwa sababu mara nyingi UKWELI UNAUMA!!

Kama Sivyo Tulivyo inakuwaje sasa hata umeme kwenye shule za msingi hakuna? Inakuwaje hata madawati na viti hakuna? Kwani tunahitaji mtu kama Einstein kutengeneza madawati? Miafrika please....prove me wrong Miafrika, prove me wrong.

Mkuu, kuna vitu vingine hatuwezi kuusingizia umasikini ni uzembe na kutokuzingatia mambo ya muhimu.Watu basi kabla ya kushibisha matumbo yao karibia kupasuka wangezingatia kuwa huduma muhimu kwa jamii zipo, Wapi! sasa kama mpaka leo bado idadi kubwa ya watanzania wanabeba mgonjwa kwenye machela kisa tu zahanati iliyo karibu ni umbali usiopungua kilometa 20 tutasemaje juu ya sisi waafrika zaidi ya unavyosema mkuu?
 
Si mmeona matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa majuzi? CCM imeshinda kwa kishindo cha 93%

Sisi wananchi wa Tz ni mataahira watupu. Samahani kwa lugha hiyo.

Come on 2010 general election, CCM shall win again!

Tatizo hapa ni kuwa wanaofahamu ukweli sio wapiga kura kwa kuwa wameshachoshwa na hizi siasa, na wanaopiga kura bado ni wale ambao hawajaifahamu kweli ama bado hawajaamua kuukubali ukweli.Vivyo hivyo 2010 watu wanaofahamu uozo watakaa nyumbani na kuacha kupiga kura, watakaoenda kusimama kwenye vituo watakua ni walewale waliojitokeza kwenye serikali za mitaa, na chama kitaendelea kushika hatamu mpaka utimilifu wa dahari.
 
Today, when i was coming from the office, on the traffic lights, behold, pembeni yangu alikuwa Sofia Simba. Nilijisikia hasira sana kumuona mama yule. As if that one was not enough, akaanza ku smile na kucheka. Unajua nilipata hasira saaana, kibinadamu nikajiuliza huyu mama ana raha gani mpaka anacheka cheka ovyo ovyo namna hii?

Ama miafrika, ndivyo tulivyo
 
Hasn't time come to start seriously thinking of an alternative?

- Maneno mazito sana Dr. Kitila, tatizo ni what alternative? au Who is the alternative hapa Tanzania?

- Otherwise, wakulu wangu habari ninazipata ni kwamba kampeni za 2010 ndio zimeanza hizi na Sophia, inasemekana hata Rais ndio kwanza ameshituka jana baada ya kusikia hizi habari za hii kamati ya Mwinyi kwamba kuna mkakati mzito sana wa kumuondoa 2010 na behind it ni the man Lowassa,

- According to the dataz niliZozipata leo ni kwamba 1/2 ya baraza la mawaziri wako na Lowassa on 2010 urais, na kwamba 2/3 ya wabunge wako na Lowassa on urais 2010, ndani ya cc ya CCM Kikwete ana wajumbe wanne tu wanaomuunga mkono na urais 2010 wengine wote ni Lowassa, ndani ya NEC nako 2/3 wanataka Lowassa ndiye awe rais 2010 now this is serious na dataz hizo zinasema kwamba sasa hivi kuna kampeni ya viongozi kupewa hela za rushwa ili wam-support Lowassa, dau linalotumika ni Shillingi Millioni 50 per kiongozi!

- Ohhh! yes I said it ni Shillingi Millioni 50 kwa kiongozi mmoja na tayari kuna wabunge wengi tu wameshachukua mgawo wao huu ndio maana ninaambiwa betweeen now na 2010 Tanzania tutajionea mengi sana ya ajabu!

Mungu Aibariki Tanzania!

Respect.


Field Marshall Es!
 
Lowassa hata kama yuko competent kiasi gani, kama maneno haya ni kweli kuununua urais ni noma.

Worse, atajisikia entitled kufanya atakacho kwa sababu urais kaununua.Atajiona hayuko answerable kwa mtu kwani wajumbe waliomchagua wako kwenye payroll na wananchi basically wanachaguliwa rais na CCM.

Kama maneno haya ni ya kweli, na kama upinzani hautaamka kutoka usingizi mzito, basi tumekufa.
 
Lowassa hata kama yuko competent kiasi gani, kama maneno haya ni kweli kuununua urais ni noma.

Worse, atajisikia entitled kufanya atakacho kwa sababu urais kaununua.Atajiona hayuko answerable kwa mtu kwani wajumbe waliomchagua wako kwenye payroll na wananchi basically wanachaguliwa rais na CCM.

Kama maneno haya ni ya kweli, na kama upinzani hautaamka kutoka usingizi mzito, basi tumekufa.


- Mkuu Bluray kwani kilichomtoa uWaziri Mkuu ni nini kama sio arrogancy za kununua urais na Mtandao?

- This one is very serious kwa jinsi nilivyopewa hizi dataz sijui how Muungwana is going to pull this one off maana nasikia Lowassa yuko mbali sana na hizi kampeni zake! na ndio maana hii kamati ya Mwinyi itaendelea maana bila hii nasikia Muungwana singeshituka, ni baada ya maneno ya Mwanaume wa shoka kusemwa ndio akashituka kwamba something is not right, sasa kama hata waziri wa ofisi yake mwenyewe yuko na Lowassa, unless na yeye yuko nae, I love this movie!

Respect.


FMEs!
 
Jamani tunasubiri nini kuwaondoa hawa mabwana?Chakushangaza bila aibu mtu kama NGELEJA haoni aibu kukaa madarakani na ahadi hewa zake?umeme tarehe 1 novemba mgao ungeisha-NA HAZINA WAMESHALIPA BIL 15 TOTAL NA IPTL lakini ukweli ni kwamba deal limeshakamilika!HAWA JAMAA WAPO KWA AJILI YA MATUMBO YAO,WANANCHI TUAMKE
 
Si mmeona matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa majuzi? CCM imeshinda kwa kishindo cha 93%

Sisi wananchi wa Tz ni mataahira watupu. Samahani kwa lugha hiyo.

Come on 2010 general election, CCM shall win again!

Those who cast the votes decide nothing. Those whocount the votes decide everything. - Josef StalinTukienda kupiga kura 2010 tuwe na kumbukumbu ya msemo huu. Stalin alikuwa Mrusi na CCM wamechukua kila kitu itikadi na ujanja. Tumprove Stalin wrong kwa sisi wapiga kura kuamua na wala sio wanaohesabu i.e. wakurugenzi wa miji na wilaya kuamua nani kashinda. Inawezekana
 
Power inayotokana na nafasi ndani ya CCM kwa baadhi ya watu si power ya kufanya lolote wanalojisikia ndani ya Tanzania.Raisi huyu tunayefikiria kama haoni anaona na kwa kweli ninahisi anayo move inayoendelea ya kuwatia mkononi mahasimu wake.Watcho out!! Kuna wanasiasa wamepoteza mwelekeo wa kuwa viongozi wa siasa. Ni bora waachie ngazi tu
 
Watanzania hatuna alternative! Tumezungukwa na wapinzani wa ajabuajabu! Yaani mtu unategemea watu wajikusanye wenyewe, wajisensitize na waitoe CCM madarakani! Sasa vyama vya upinzani kazi yao ni nini! Kwa hali iliyopo sasa hata wananchi wangekuwa wanataka kuitoa CCM madarakana, swali ni watamweka nani!

mtazamo mzuri kweli. Kwa sababu watu wengine wanafurahia kuanguka kwa CCM lakini hawatuambii nani ataziba hilo pengo? Hatuwezi kumkimbia chui huku tunakimbilia kwa simba!
Ningetegemea wapinzani kutumia udhaifu huu wa CCM kupiga bao (kuitisha mikutano na maandamano) lakini cha ajabu wamekaa wanasema wanasubiri CCM imeguke!!!!

Labda wanasubiri waangushiwe masanduku ya kura toka mbinguni kama Waisraeli walivyoangushiwa mana!

Ikimeguka ndio itageuka Chadema! Si bado kutakuwa na CCM asili na CCM academia! Yaani nyie akina Kitila, Slaa, Mbowe nk ni nini mkakati wenu!

Wakikupa jibu lenye uhalisia siyo la kinadharia ya kisomi watakuwa wanasiasa!

Mnasubiri muujiza upi tena! Mnajua kabisa kuwa watanzania wengi ni wajinga (ignorant) na CCM imeinvest kwenye huu ujinga wa mama na baba zetu, dada na kaka zetu, hata bibi na babu zetu! Saa kama mnatarajia muujiza kuwa hao watanzania wata OKOKA na kuhamia Chadema - basi huo ni uabunuasi!

Hili linaitwa kumkoma nyani giledi.

Na uabunuasi (foolishness) wa wapinzani ni mkubwa kuliko wa wananchi wa kawaida, na CCM itaendelea kuinvest kwa upinzani kama huu! Hapa kwetu hatuna activists wa kweli! Tumekuwa reduced to wapinzani wa kushinda jamiiforums na kutoa mawazo na wengine kusubiri bunge au uchaguzi ili wasikike!!!!! Haijulikani kiongozi ni yupi na mwanachi wa kawaida ni yupi! Jamani fanyeni siasa seriously. Ngrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr! Simply, tumelogwa/mmelogwa

you have expressed my deep held sentiments and reservation about the opposition in Tanzania. Asante.
 
True, what happened in Dodoma is shameful, and as Mwanakijiji rightly put it, it's a clear evidence of a failed leadership. It really gets on my nerves when I hear such nonsensical utterances from people holding key ministerial posts in our esteemed government. Where the hell did Kikwete pick the likes of Sofia Simba from? This woman must be sick in the head.

that is why to me the whole fiasco is shameful; not because CCM is exposing itself to the public but the names that mentioned show that probably our problem is not just the system but the very people who have created the system!
 
Back
Top Bottom