Look, kwenda Marekani ni privilege na sio right. Kwa hiyo mtu ukinyimwa visa usijilize lize. Ebo
Omega Psi Phi
Hapa ndipo unathibitisha UPUMBAVU wako!
Tangu lini kwenda Marekani ikawa "privilege"? Kwenda Marekani ni sawa na kwenda nchi nyingine yoyote, hata kama unaenda Nairobi! Hakuna privilege hapo!
Wewe ni mmojawapo wa watu wanaoitukuza Marekani, na kuifanya kuonekana kama Nchi Namba 1 duniani, kitu ambacho SIO KWELI! Marekani haina tofauti na nchi nyingine yoyote!
Mimi nilidhani ungejivunia UTAIFA wako, na kusema kuja Tanzania ni "privilege", si kwenda Marekani.
Nimeishi Marekani takriban miaka 5 na ushee, naijua vilivyo. Hakuna cha privilege wala nini. Mwaka 99, niliporudi huko, nilikuta nchi ikiwa kwenye hali mbaya ya uchumi kuliko nilivyoiacha mwaka 89! Huniambii kitu!
Usitufanye watoto hapa! Bora Tanzania kuliko Marekani!
--------
Kuhusu huyo Binti mwenye miaka 16 aliyenyimwa haki yake ya kuwa na familia yake, anaweza kumwandikia barua Senator Hillary Clinton, akalalamika, au mtu yeyote anaweza kuiandika, kwa niaba yake, na kisha kuitisha Press Conference, awaalike BBC na other International news media reps, kisha tusikie majibu yake. Kama hakuna atakayewajibishwa huko Ubalozini, sijui.
Never underestimate the power of the media, the Fourth Estate!
./Mwana wa Haki