Shame on you ITV tuwasusie hawa

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,330
Baada ya maagizo kutoka CCM ITV ikapiga kimya kurusha tukio kubwa la shambulio la Bomu Arusha ktk mkutano wa CHADEMA ili kwa makusudi wa Tanzania wasijue uovu unaofanya na Chama tawala. Dhambi hii kubwa nanyi itawahusu kwa sababu mnatumika vibaya kutangaza propaganda mbaya za Nape na Mwigulu Nchemba zinazoleta madhara kwa wa TZ. Watu walisubiri kwenye luninga zao kusikia na kuona mkirusha habari hii lakini mkaipotezea ili kuiokoa CCM shame on you nanyi hamna tofauti na wauaji wale kwani mmeridhia matakwa yao. Mko kuwa arifu waTZ kila kinachoendelea bila kuwa na mrengo fulani lakini mmekuwa mkitumika vibaya.

Kwenye progress za kampeni mme wa Cover CCM kama mahojiano mliyofanya na Nape a.k.a mwuuaji na kurusha hotuba za Lowassa huku kwa maksudi mkiwachinjia chini CHADEMA. MMefanya hivyo makusudi ili CCM ishinde na kwa sababu wao ndo wanawabebba endeleeni wanafiki wakubwa kuficha ukweli. Dawa ni sisi kwa pamoja kuinuka na kuisusia TV yenu ya ki CCM ili muendelee vema kukinadi chama chenu.
 
mkuu inawezekana vyombo vingi vya habari vya tanzania vimewastukia CHADEMA kuwa mnafanya matukio ili mpate coverage yao. labda mjipange upya kwa mbinu zingine.
 
shame upon chadema kwa kushindwa kuwa na tv yao.tumelisema sana lakini halijafanyiwa kazi.
 
Lakini mbona sunrise walirusha mkuu tena coverage ya nusu saa au?
 
SAFI SANA ITV! Biashara yenu ya kutafuta coverage kwa damu za watu imeshtukiwa! CDM tafuteni mbinu nyingine! Hata Cardinal Pengo ali-hint hili kwenye lile tukio la kwanza la bomu la Arusha!
 
mkuu inawezekana vyombo vingi vya habari vya tanzania vimewastukia CHADEMA kuwa mnafanya matukio ili mpate coverage yao. labda mjipange upya kwa mbinu zingine.
CDM ina kiwanda cha mabomu???
 

Tuwasusie wewe na nani? jiongelee mwenyewe mimi siwezi kuisusia ITV kwa kuwa ina mchango, mkubwa sana ktk Maendeleo ya nchi yetu na kuna Watz wengi sana wameajiriwa ambao hawana Chama na maisha yao na ya familia zao yanategemea uwapo wa ITV na wanalipa kodi na NSSF sasa kwa nini niwasusie?
 
Itv hii ya siku hizi sijui vp au hao maripota wanalipwa nini,kwa nini waripoti kitu ambacho sio kweli,nikikumbuka ile ya Mbowe walivyoirusha kinafki.
 
Hao ITV wanafuata maelekezo ya boss wao anayejikomba kwa magamba ili kufunika madhambi yake mengi.
 

Usikurupuke,maagizo gani yalitolewa na ccm?WEWE na NANI misusie ITV,Tatizo lako unaona kila linalofanyika vibaya ni ccm,Jaribu kutulia ulete hoja
 
mkuu inawezekana vyombo vingi vya habari vya tanzania vimewastukia CHADEMA kuwa mnafanya matukio ili mpate coverage yao. labda mjipange upya kwa mbinu zingine.
Nakuchukia wewe, natamani upate ajali ufe! Maana ni mjinga sana wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…