SHAME!!: Cuban Doctors to help Dar in fight Jangwani Mosquitoes!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SHAME!!: Cuban Doctors to help Dar in fight Jangwani Mosquitoes!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Lole Gwakisa, Sep 16, 2010.

 1. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  By Felister Peter,
  The Guardian

  CUBAN medical experts are expected in the country next week to help fight the increased mosquito population at Jangwani Valley and Msimbazi creek in Dar es salaam.
  The Chief Medical Officer, Dr Deo Mtasiwa told journalist in Dar es salaamyesterday...

  What a shame for the medical proffession!!
  Muhimbili has the biggest concentration of Phd holders in the United Republic and they cant solve a simple drainage problem.

  This is alarming , even seemingly hounarable proffessions like this medical field prefer to rest their brains instead of putting themselves to useful research and problem solving in this minor problem.
   
 2. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135


  Mbona suluhisho la tatizo hili ni dogo sana.

  Fungeni kiwanda cha Tanzania Breweries Limited, tatizo la mbu Muhimbili litakoma.
   
 3. p

  p53 JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2010
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 613
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  hivi daktari anayeanza kazi hospitali ya serikali kama muhimbili analipwa tshs ngapi?na kima cha juu ni tshs ngapi,lets say wale madaktari wa muda mrefu,ma specialists au ma profs?
   
 4. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  hivi una uhakika na unachokiongea...??!!!! :confused2: hv u ever been in med school..??
   
 5. X

  Xavery Member

  #5
  Sep 16, 2010
  Joined: Jul 30, 2010
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi siamini kama hakuna wataalam wanaoweza kupambana na mbu hao, ninachokiona ni chuki/wivu dhidi yao au ufisadi tu.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  We unashangaa?!! Tanzania hakuna tunachoweza.
   
 7. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Yani hadi kutokomeza masalia ya MBU tunahitaji msaada?

  Kweli sisis ni wazee wa kuvunja rekodi!
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Sep 16, 2010
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,361
  Likes Received: 6,382
  Trophy Points: 280
  Hawa mbu si wale wawekezaji?
   
 9. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2010
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,322
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Hii Tanzania bwana! Tumepiga bei hata vichwa vyetu. What a dangerous strategy!!! Hakuna tena tunaloweza kufanya bila kusaidiwa toka nje. Hivi ni lini tutatengeneza uwezo wetu wa ndani??? Mhhh!!
  Ngoja nidandie hii treni ya kilimo kwanza maana kumbe mambo yote mwisho wa siku ni misaada ya wahisani!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Sina uhakika ila inawezekana tatizo likawa linaanzia upande wa Tanzania Breweries
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  By the way if I may ask pale kiwanda cha Tanzania Breweries kilipo ni sahihi kweli kinapaswa kuwa maeneo yale kweli?
   
 12. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu this is a minor problem indeed, from std 1 we were taught that mbu breeds in stagnant water.
  The rest is for your imagination.
   
 13. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #13
  Sep 17, 2010
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  mimi nafkiri hawa ni wataalamu wa kutokomeza mbu kabisaa! kuna baadhi ya nchi za pacific asia kulikuwa na malaria lakini sasa imetokomezwa kabisa.. labda hawa wataalamu walifanikiwa huko kwao CUBA! ndio maana wanataka kuja kujaribu huku kwetu! NAOMBA TUTUE USHIRIKIANO TU!
   
 14. bona

  bona JF-Expert Member

  #14
  Sep 17, 2010
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  to make it more shameful, muhimbili is hardly 2km from jangwani!
   
 15. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #15
  Sep 17, 2010
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Bado kidogo tutaomba tusaidiwe kuzaa watoto !!!!!!!!!!!!!!!!.
   
 16. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #16
  Sep 17, 2010
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,121
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  bora tutawaliwe na dikteta, maana angeshaamuru TBL ihamishwe, iwe ni bohari tu. TBL ndicho chanzo kikuu cha hao mbu.
   
 17. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #17
  Sep 17, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Punde si punde tutaomba ulinzi wa wadhungu kuilinda ikulu
   
 18. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #18
  Sep 17, 2010
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Wataalam wetu wameingia umangimeza, they dont work!
  Suala la hawa mbu ni rahisi kuliko, tatizo la kila idara katika serikali hazina coordination ya aina yoyote.
  Solution iko hapa
  1. Bonde la Msimbazi lihamwe-ni utekelzaji wa amri tu
  2. Tokea Salender bridge mto Msimbazi uwe dredged mpaka Vingunguti
  3. Msimbazi valley iwe na mamlaka yake yenyewe ili iwe managed na ikiwezekana iwe na hati miliki yake
  4. Sehemu zote za bonde zigeuzwe kuwa amusement parks ili zisi vamiwe

  Kama nilivyosema serikalini hakuna watu wa kudhubutu kuota mambo mema na kuyatekeleza with imagination.
   
 19. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #19
  Sep 17, 2010
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Nadhani hiyo ni kazi ya Wanasayansi sio Drs.kwani Drs wataitwa kutibu malaria lakini watafiti kuhusu namna ya kuwaangamiza mbu ni wanasayansi wanahitajika.
   
 20. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #20
  Sep 17, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  kila kitu msaada, Limekuwa ni tatizo mpka tumeomba msaada kutoka..Nilisikia JK anasema anataka wangonjwa wa nje wawe wanakuja Tanzania kutibiwa....
   
Loading...