We unashangaa?!! Tanzania hakuna tunachoweza.
Come on, Vitu vingi tunaweza:
1. Begging
2. Corruption
3. Incompetence
4. Talking (we are the champions at talking with no action)
...
We unashangaa?!! Tanzania hakuna tunachoweza.
Come on, Vitu vingi tunaweza:
1. Begging
2. Corruption
3. Incompetence
4. Talking (we are the champions at talking with no action)
...
mimi nafkiri hawa ni wataalamu wa kutokomeza mbu kabisaa! kuna baadhi ya nchi za pacific asia kulikuwa na malaria lakini sasa imetokomezwa kabisa.. labda hawa wataalamu walifanikiwa huko kwao CUBA! ndio maana wanataka kuja kujaribu huku kwetu! NAOMBA TUTUE USHIRIKIANO TU!
Mbona suluhisho la tatizo hili ni dogo sana.
Fungeni kiwanda cha Tanzania Breweries Limited, tatizo la mbu Muhimbili litakoma.
JK atajizolea kula kwa watanganyika kwa jambo hilo si atawambia ameleta wataalamu kutoka Cuba watu makofi..Nadhani hiyo ni kazi ya Wanasayansi sio Drs.kwani Drs wataitwa kutibu malaria lakini watafiti kuhusu namna ya kuwaangamiza mbu ni wanasayansi wanahitajika.
By Felister Peter,
The Guardian
CUBAN medical experts are expected in the country next week to help fight the increased mosquito population at Jangwani Valley and Msimbazi creek in Dar es salaam.
The Chief Medical Officer, Dr Deo Mtasiwa told journalist in Dar es salaamyesterday...
What a shame for the medical proffession!!
Muhimbili has the biggest concentration of Phd holders in the United Republic and they cant solve a simple drainage problem.
This is alarming , even seemingly hounarable proffessions like this medical field prefer to rest their brains instead of putting themselves to useful research and problem solving in this minor problem.
Mkuu kwa vyovyote vile hii inaonyesha umakini wa waajiriwa serikalini na wanavyo wajibika kitaalam.Mtu akiwa na PhD lazima awe na uwezo mpana wa kutatua matatizo ama sivyo hayo mafanikio yatakuwa sanasana ya kuweka ukutani ili wageni waone vyeti tu.Inaonyesha sisi watanzania tuhitaji Reality check....Largest concentration of Phd with respect to what? je na hizo Phd za nini? hebu angalia kama kwente PubMed au sehemu nyengine yeyote na uone Muhimbili ina publish pulication ngapi kwa mwaka? naona jibu utakalolipata unaweza kulia au litakuamsha kwenye usingizi...Hivi kweli ni aibu kwa kiwete kutoweza kukimbia au kipofu kutoweza kuona?