Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Pasco maswali yako yote yalishajibiwa direct au indirect
1.Serikali inaweza kumhoji mtuhumiwa kwa kumfuata alipo
2. Waliomyima stahiki zake mh lissu ndo walitake afe
3. Waliompora ubunge ndo walitaka afe
4.waliokataa uchunguzi wa kimataifa ndo wahusika wakuu
5. Yule aliyehutubia taifa wakati wa kupokea ripoti ya makinikia akadai msaliti apigwe risasi ni mtuhumiwa no.1
Duh...!.
P
 
Hii umefeli sana mkuu .
Hajafeli kabisa hata kwa akili za kawaida tu,mtu anakufuata toka bungeni wewe unashutukia mchezo alafu hata kumshutua mwenzako hufanyi? Kwa nini wakiwa maeneo mjini asinge ingia sehemu kama Petrol station alafu akasikilizia kidogo ?
Mbaya zaidi dereva anadai ni wale wale jamaa waliokuwa wanafuatilia pale St Peters.
Mimi binafsi nina mashaka makubwa sana kwa nini viongozi wa Chadema hawataki huyu dereva ahojiwe. Inawezekana wanawafahamu ishu nzima.
 
JokaKuu, aliye na uwezo wa kuagiza unyama huo ufanyike na aliye na uwezo wa kuzuia kufanyika kwa uchunguzi kwa kitendo cha kinyama na kishetani kama hicho ndani ya taifa hili ni moja tu, hakuna mwingine. Wanaoweza kubisha ukweli huu wako wengi na sababu zinazo-wasukuma kubisha zaweza kuwa nyingi lakini iko siku ukweli, the truth will raise its ugly head!
Mkuu umeniongezea hasira natamani kuvaa mabomu nijilipue kama wale jamaa wa itikadi kali walioonewa kwa muda mrefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajafeli kabisa hata kwa akili za kawaida tu,mtu anakufuata toka bungeni wewe unashutukia mchezo alafu hata kumshutua mwenzako hufanyi? Kwa nini wakiwa maeneo mjini asinge ingia sehemu kama Petrol station alafu akasikilizia kidogo ?
Mbaya zaidi dereva anadai ni wale wale jamaa waliokuwa wanafuatilia pale St Peters.
Mimi binafsi nina mashaka makubwa sana kwa nini viongozi wa Chadema hawataki huyu dereva ahojiwe. Inawezekana wanawafahamu ishu nzima.
Watu mnaleta mizaha kwa mambo serious!! Unadhani Petrol Station Bashite ndiyo angeogopa kumwaga risasi? Kama aliingia Radio and TV Clouds na silaha za kivita na Waziri Nape Nauye akapoteza kazi kwa kumchunguza, unadhani ni angeshindwa kumwaga risasi Petrol Station?

Nguvu ya Bashite iko kwa anayemtuma ambaye ni Rais mwenye madaraka ya mwisho Tanzania.
 
Kwanza kabisa tambua mpaka sasa haijulikani nani aliyefanya tukio lile.
Lakini sote tunafahamu bunge lipo maeneo ya mjini pale Dodoma.
Hivyo sababu tokea bungeni aliwashutukia wale jamaa angeingiza gari petro station ambayo ipo busy hata kama wangefyatua risasi ingekuwa rais kuwa track.
Au angerudi bungeni au eneo lolote salama ambalo kuna watu wengi.
Kwa nini akae kimya mpaka huko area D wanapokaa washua? Ambapo hakuna watu wengi!
 
Tundu Mughwai Lissu alikuwa akisakwa mpaka alitoa taarifa za kusakwa kwenye vyombo vya dola

Alitoa mpaka namba za gari na model ya gari lililokuwa likimsaka lakini alipuuzwa na Vyombo vinavyohusika

Hata ile siku ya jaribio la kumuua alijua kuwa wale washambuliaji ni walewale waliokuwa wanamfuatilia

Lissu alitumiwa vyombo maalum vimuondoe kwa amri ya kenge wa kwenye majabali
 
Hili ni vizuri kuachia hapa kwasababu whoever who was behind shooting ya Tundu Lissu ni shetani kabisa, the devil in human flesh, mimi siamini tunaye shetani wa aina hii, ila kwa vile sio kila kinachofanywa na serikali lazima kiripotiwe kwenye media hivyo mimi ninaamini 100% chini ya 100% serikali imechunguza, zile CCTV ni nyumba ya Kalemani ila sio CCTV za serikali, naamini hadi Mzee atakuwa ameulizia, na uchunguzi umekwama kutokana na kukosekana mashahidi wawili wakuu ambao ni muhimu sana. Endapo kugetokea fatality kazi ingekuwa well done, by now file lingeisha fungwa, lakini kwasababu mashahidi wapo, wanasubiriwa wahojiwe ndipo uchunguzi uendelee.
P
Je Tundu Lissu na dreva wake wangefariki ina maana uchunguzi usingefanyika?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Please stop there usitaje majina kwa hisia. Hao Wamarekani wana lao jambo na sio hilo.
P
Ki ukweli.. ukweli unaujua ila tumuachie Mungu mlipaje wa yote. Tuache unafiq katika suala la lissu wala kujitafutia popularity ni heri kukaa kimya, ishu lissu haihotaji assumptions za kuzunguka, huyu mtu aliumia angalia picha hii
images (3).jpeg
 
Je Tundu Lissu na dreva wake wangefariki ina maana uchunguzi usingefanyika?

Sent using Jamii Forums mobile app
File lingefungwa next day!.
Wangemuhoji nani?.
Hakuna yoyote aliyeona,
Hakuna mlio wowote wa risasi ulisikika
Hakuna mlinzi yoyote aliyekuwa zamu
Hakuna mtu yoyote wa kueleza lolote hivyo polisi wasingekuwa na popote pa kuanzia.

Kamera za cctv zilikuwepo cha ajabu zikatolewa
 
Ki ukweli.. ukweli unaujua ila tumuachie Mungu mlipaje wa yote. Tuache unafiq katika suala la lissu wala kujitafutia popularity ni heri kukaa kimya, ishu lissu haihotaji assumptions za kuzunguka, huyu mtu aliumia angalia picha hiiView attachment 1410411
ni mateso makubwa kayapitia Lissu hapa duniani - laah

ila kwa kupona kwake, watesi wake hawana amani ya roho.
 
File lingefungwa next day!.
Wangemuhoji nani?.
Hakuna yoyote aliyeona,
Hakuna mlio wowote wa risasi ulisikika
Hakuna mlinzi yoyote aliyekuwa zamu
Hakuna mtu yoyote wa kueleza lolote hivyo polisi wasingekuwa na popote pa kuanzia.
P
Kwa kuwa ni kama faili limefungwa, kwa hiyo katika macho ya wakubwa, Lissu na dereva wake wamekufa?
 
Ki ukweli.. ukweli unaujua ila tumuachie Mungu mlipaje wa yote. Tuache unafiq katika suala la lissu wala kujitafutia popularity ni heri kukaa kimya, ishu lissu haihotaji assumptions za kuzunguka, huyu mtu aliumia angalia picha hii
Picha nyingine ni morbid curiosity, na kuingilia the right to privacy za watu.
Hoja za bandiko hili sio Lissu kaumizwa kiasi gani bali the role of dereva wake ni zaidi ya commandoo.
Kama ilivyo miraculously survivor ya Lissu after more than 30 bullets, na dereva wake has even more interesting story to tell ya miraculously escape, baada ya risasi kuanza kumiminwa, alilaza kiti cha Lissu, akashuka na kumlazia upande wa dereva akamlaza kifudifudi, huku risasi zikimiminwa, yeye akatoka bila kuonekana, akaingia chini ya gari ma ku craw hadi uvunguni kwa next car without a scratch!. This is miracle!.
P
 
Kwa kuwa ni kama faili limefungwa, kwa hiyo katika macho ya wakubwa, Lissu na dereva wake wamekufa?
No file halijafungwa because they survived. Sasa ndio wanasubiriwa wahojiwe uchunguzi ndipo uanze.
P
 
Tundu Mughwai Lissu alikuwa akisakwa mpaka alitoa taarifa za kusakwa kwenye vyombo vya dola

Alitoa mpaka namba za gari na model ya gari lililokuwa likimsaka lakini alipuuzwa na Vyombo vinavyohusika
Mkuu Imhotep, una uhakika Lissu alitoa taarifa kwenye vyombo vya dola au ni ile press conference yake aliotoa numbers za gari zinazomfuatilia ndio taarifa rasmi kwa vyombo vya dola?.

Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?! - JamiiForums

P
 
Back
Top Bottom