Mulama
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 3,027
- 1,798
Hapa jukwaani kila mtu ana uwezo wa kujiandika ana uzoefu wa fani flani au alikuwa flani, ukija kwenye uhalisia unakuta kinyume kabisa!Afande mzoefu bwana! Sie wengine hatuna fani hizo!
Huyo pasikali anasema aliwahi kuwa mwanajeshi na anadhani kuwa mwanajeshi tu kunatosha kujua silaha zote na matumizi yake na tabia za silaha hizo! Mpaka hapo unakuwa ushajua ni nini kimekusudiwa katika andiko la hivyo.