![]()
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.
Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo
Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?
Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.

kwanini unatafuta wengine wakati dereva alikua hatua chache tuhivi hakuna yeyote katika zile apartment aliye shuhudia hili tukio na kuchukua kapicha au video ya shambulio na kupost ili nguvu ya umma ifanyekazi...
Walisema tusijadili Swala hili wanaanza wenyewe Haya Maswali ya kujiuuliza machache 1.kwannini walinzi kwenye geti la kuingiliza makazi waliondolewa 2. kwninin CCTV jirani Zimeondolewa 3.kwa naibu spika ni jirani na nyumba ya Mheshimiwa Lissu kuna walinzi masaa 24 siku hiyo hawakuwepo? am masiko waliweka pamba n.khivi hakuna yeyote katika zile apartment aliye shuhudia hili tukio na kuchukua kapicha au video ya shambulio na kupost ili nguvu ya umma ifanyekazi...
Wewe unamtaka dereva kwa ajili ya kitu gani wkati BASHITE alikuwepo kwenye eneo la tukio na anamtafuta dereva ili ushahidi upoteeWewe fala sana, unafikiri cctv pekee ndo ushahidi kamili,? Mtoeni dereva mafichoni, aache kuishi kama popo.
Kama na yeye ni sehemu ya mpango wa mwenyekiti wenu wa maisha aseme tu
unajua maana ya kufichwa? Yaani mtu anayejulikana alipo anakuwaje amefichwa?Dereva wa Lisu anajua kila kitu lakini amefichwa.
Kazungusha keep left form six? Shule ipi?ndio maaana form six alipataga ZIRO... ji.nga kabisa
Dereva wa Lisu + CCTV camera ushahidi unakamilika kabisa.unajua chmaana ya kufichwa? Yaani mtu anayejulikana alipo anakuwaje amefichwa?
Ukisoma Maelezo ya hukumu iliyotolewa na Jaji Thokozile Masipa dhidi ya Oscar Pistorius kwenye kesi ya Mauaji ya aliyekuwa Mke wake Reeva SteenKamp, Jaji Masipa alisema kwenye kesi ile ushahidi wa kuaminika ni wa Mashine za Kielektroniki kuliko ule wa binadamu.
Leo kwenye suala la Lissu mashine za Kielektroniki zingetusaidia zaidi kuliko huyo dereva "mnayemsaka" na kutaka kumgeuza mbuzi wa kafara katika kukwepa jukumu lenu. CCTV iliyokuwepo wakati wa tukio mmeing'oa badala ya kuitumia katika kupata undani na ukweli wa tukio. Hivi kampuni za simu zingeshindwa kusaidia kuliko Dereva wa Lissu mnayemsaka?
Ni wajinga Wanadhani uwezo wetu wa Kufikiri ni mdogo Kwasababu Tume kaa kimya ''Giving a Shield to Thugs it is a Shame''unajua chmaana ya kufichwa? Yaani mtu anayejulikana alipo anakuwaje amefichwa?
Ukisoma Maelezo ya hukumu iliyotolewa na Jaji Thokozile Masipa dhidi ya Oscar Pistorius kwenye kesi ya Mauaji ya aliyekuwa Mke wake Reeva SteenKamp, Jaji Masipa alisema kwenye kesi ile ushahidi wa kuaminika ni wa Mashine za Kielektroniki kuliko ule wa binadamu.
Leo kwenye suala la Lissu mashine za Kielektroniki zingetusaidia zaidi kuliko huyo dereva "mnayemsaka" na kutaka kumgeuza mbuzi wa kafara katika kukwepa jukumu lenu. CCTV iliyokuwepo wakati wa tukio mmeing'oa badala ya kuitumia katika kupata undani na ukweli wa tukio. Hivi kampuni za simu zingeshindwa kusaidia kuliko Dereva wa Lissu mnayemsaka?
Hivi kuna anayeujua mtiririko wa elimu wa Polepole ?![]()
Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenenzi, Humphrey Polepole amefunguka na kuhoji kuhusu kitendo cha Chadema kumficha dereva aliyeshuhudia tukio zima la shambulio la risasi kwa mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na amewataka wananchi wa jimbo la Siha kumhoji Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe aeleze sababu za kufanya hivyo.
Ametaka kuhoji siri iliyopo inayowafanya Chadema wamfiche dereva huyo wakati anahitajika kuisaidia Serikali kufumbua ukweli na kumjua aliyehusika katika shambulio hilo
Hivi huyu polepole yupo timamu kweli? Akipatikana dereva wa lissu hao watu wasiojulikana watapatikana baada ya kuhojiwa? Vipi dereva wa lissu angekufa ktk shambulio lile ina maana intelijensia ya jeshi la polisi ingekuwa nayo imekwisha?
Siasa za ccm kupitia huyu jamaa ni mufilisi kabisa.
Ya kuunga kama chain ⛓ block [emoji833]️ cheni blokuHivi kuna anayeujua mtiririko wa elimu wa Polepole ?
Polepole atambue kwamba hana kinga yoyote .CCTV CAMERA IKO WAPI?NANI ANAHUSIKA NAKUFICHA CCTV CAMERA?wapi walinzi wa area d siku hyo?nani aliwatoa kwnye lindo?gari iliyofanya tukio nani mmiliki wake?polepole aje nahayo majibu watz cyo wajinga