lukindo
JF-Expert Member
- Mar 20, 2010
- 8,470
- 9,053
Sasa mihogo ataila nani maana mla mihogo alikimbilia ughaibuni!Jamanii! Cjui mzee wa watu apande nini kitakachoota kipindi hiki cha kiangazi. Labda Mihogo.
Sasa mihogo ataila nani maana mla mihogo alikimbilia ughaibuni!Jamanii! Cjui mzee wa watu apande nini kitakachoota kipindi hiki cha kiangazi. Labda Mihogo.
Mm naona serkali IPO Sawa kabisa hill shamba lina miaka zaidi ya 20 ni pori tu na sasa mji wa mabwe pande
Ukitoka Bunju ukielekea mabwe ukifika hapo unakutna na pori na ndiomana wananchi waliamua kuvamia pori hilo na kujimilikisha kwani mwezi ndio kimbilio lao hata majambazi
Napongeza serkali kwa hatua hio
Mda waliompa asipoliendeleza lirudi serkali litumike kwa matumizi mengine hususan kugawia wananchi
Kama yameendelezwa shida hakuna,, mh Ben ajitambua,,, nanukuu '' NMALOFA''Naunga mkono hoja Tuendelee mpaka kwa Ben Yale mashamba ya miwa mtibwa na kagera
Naomba kuuliza hivi hii sheria ya makosa mitandaoni kwa kutumia lugha ya kuuthi MTU ,kukera kudhalilisha na uchochezi ni kwa viongozi waliopo madarakani au kwa watanzania woteMr. Zero. The most corrupt and useless PM ever. Halafu naye anakimbilia CHADEMA akidhani kuwa atapata uraisi au kurudia uwaziri mkuu wake. Utafikiri CHADEMA ni chaka la kuficha na hatimaye kutakatisha mafisadi waliokubuhu. Sad!
Unayajua lakini au unaongea tu ukilaza?Kama yameendelezwa shida hakuna,, mh Ben ajitambua,,, nanukuu '' NMALOFA''
Sio kwa viongozi waliopo madarakani bali ni kwa wana ccm tu wapimzani ndio walitungiwa hii sheria ila wanaccm wanauwezo wa kuvunja hii sheria na kutohoji,kubugudhiwa na wala kushitakiwa sehemu yeyote ile. Hii ndio tanzania ya utawala wa sheria.Naomba kuuliza hivi hii sheria ya makosa mitandaoni kwa kutumia lugha ya kuuthi,kukera kudhalilisha na uchochezi ni kwa viongozi waliopo madarakani au kwa watanzania wote
kwani ukiwa upinzani ndio unakuwa juu ya sheria ?
mhindi yupi huyo?Asilielie...hata mwaka jana akiwa bado CCM mkewe Ester alifutiwa umiliki wa maelfu ya ekari mkoa wa pwani ambayo hakuwahi kuyaendeleza...huyu mtu ni mlafi wa ardhi pasipo kuiendeleza,hana tofauti nayule muhindi/muingereza aliyefutiwa jana.
Sumaye alitwaa ardhi kwa wakulima......huyu sumaye hata mchicha halimi ni mapori kakiuka mkataba wa umiliki wa ardhi ya uwekezaji,na yeye anajua. Usikubali kufubazwa akili.Hizi kauli na matendo ya kutaifisha ardhi za watu kwa visa vya kisiasa ndio zimemponza Mugabe akaitumbukiza nchi yake kwenye umaskini. Unaanzaje kuita wawekezaji nchini wakati huo huo unataifisha mali za wawekezaji wengine
Kwani aliomba shamba kama pambo?Wamwache mzee wa watu apumzike....
Word!You must be hopeless, shallow and narrow minded
Utendaji upi?Kwa utendaji mzuri huu hata angelipwa billioni 100 kwa mwaka sawa tu
Matatizo yetu Watanzania hatujui yupi kiongozi na yupi mkurupukaji. Media ndio inamjenga huyu jamaa lakini kiuongozi hana lolote kwa uono wangu.Kitu nilicho na uhakika nacho ni kuwa huyu "Mungu" hatatoka madarakani. For sure Katiba itabadilishwa. Uweke uzi huu kama kumbukumbu