Shamba la Sumaye kufutiwa hati

Shamba la Sumaye kufutiwa hati

Mungu akubariki mh Lukuvi kwa kusimamia haki, mapori yamezidi Dar, majambazi wanajificha, makazi hayaendelei, njoo na Kigamboni Mh Lukuvi, huku ndo balaah...mapori yamejaa, watu wanamiliki ardhi kuanzia heka 50 na hakuna wanalolifanya.
 
Watetea mafisadi bavicha ngoja wafunguliwe kuja kumtetea
 
Viongozi wengi sana walijitwalia Mashamba, au wanaanza kwanza na Sumaye kama alivyosema wanaanza kwanza na Mbowe japo wapo wengi, lakini mpaka leo sijasikia yoyote mkubwa akitolewa vitu vyake National Housing. We need to think big.

Not only THINK BIG but ACT BIG and EXPEDITIOUSLY as well; common men!
 
Ni Sumaye tu? Ni kweli kwamba hakuna watu wengine huko serikalini wenye mashamba makubwa ambayo hayajaendelezwa? Why target Sumaye? Haya ndio mambo tunayoyapinga kila siku. Huwezi kuwa na sera zinazolenga watu fulani. Kama Serikali imeamua kufuta hati za mashamba yasiyoendelezwa, basi ifanye hivyo kwa wote. Inatia mashaka sana kwamba kuna viongozi wengi tu kwenye vyama vingine wanamiliki mashamba ya aina hiyo, lakini waziri anachagua kum-target Sumaye. Tutaachaje kuamini kwamba anafanyiwa hivyo kwa sababu ya msimamo wake kisiasa?
 
What goes around, comes around.

Wanafanya hivyo kwa Sumaye na wengine wanaofanana naye kwa sbb hawapo upande wao.

Siku na wakati utakapofika na wao watakapokuwa upande wa Sumaye, naamini kwa precedence hii wanayoiweka, watakuja kulia na kusaga meno!!

Yes, yaweza kuwa si wao maana watakuwa wamezeeka na kufa. Lakini watoto wao na watoto wa watoto wao watakuja kulia na kusaga meno kwa dhambi za baba na babu zao!!

ONYO:
Uongozi wa visasi ni hatari sana na siku zote visasi vina tabia ya ku - chain na kamwe havisahauliki hata baada ya kizazi cha sita au cha kumi!!

Ni vyema viongozi wakatenda HAKI kwa kila mtu na kwa kuanzia kwa familia na nafsi zao wenyewe maana HAKI ni tunda la AMANI kwa vizazi vyote vilivyopo na vijavyo!
 
Kitu nilicho na uhakika nacho ni kuwa huyu "Mungu" hatatoka madarakani. For sure Katiba itabadilishwa. Uweke uzi huu kama kumbukumbu
 
Mm naona serkali IPO Sawa kabisa hill shamba lina miaka zaidi ya 20 ni pori tu na sasa mji wa mabwe pande
Ukitoka Bunju ukielekea mabwe ukifika hapo unakutna na pori na ndiomana wananchi waliamua kuvamia pori hilo na kujimilikisha kwani mwezi ndio kimbilio lao hata majambazi
Napongeza serkali kwa hatua hio
Mda waliompa asipoliendeleza lirudi serkali litumike kwa matumizi mengine hususan kugawia wananchi
 
Viongozi wengi sana walijitwalia Mashamba, au wanaanza kwanza na Sumaye kama alivyosema wanaanza kwanza na Mbowe japo wapo wengi, lakini mpaka leo sijasikia yoyote mkubwa akitolewa vitu vyake National Housing. We need to think big.
Ba a a, mbona hapa mwenzenu 'sipaelewi elewi' tu u!
Hawa Waheshimiwa, hawana jambo la pamoja hawa? Ah! Mm naondoka, sirudi tena.
 
Naunga mkono hoja Tuendelee mpaka kwa Ben Yale mashamba ya miwa mtibwa na kagera
Hayo si yameendelezwa! Haya ya Sumaye ni mashamba pori. Ameyahodhi kufanya speculation ambayo imepigwa marufuku na sheria ya ardhi
 
Hivi serikali imeliona Shamba la Sumaye tu kule Mabwepande? Mbona kuna watu wana maeneo makubwa wamepima viwanja havijaendelezwa ni mapori wanasubiri kuviuza lakini hawanyang'anywi Kwa kuwa wako CCM?
Wewe usiyefatilia habari ndio unaona la sumaye tuu ndio limepea notisi...kila leo mashamba mengi yanafutiwa umiliki wake fatilia
 
Naunga mkono hoja Tuendelee mpaka kwa Ben Yale mashamba ya miwa mtibwa na kagera
Lile pori hatari mkuu kabeba karibia kijiji kizima. Watu wana dhambi sana wamemuona mtu mwenye ekari 30 na kuangaika nae na wakamuacha mwenye shamba sawa na kijiji kizima na hakuna anachokiendeleza.
 
Sumaye aliwahi kutamka mwenyewe kuwa 'ukitaka mambo yako (utajiri) yaende vizuri njoo ccm'. Nadhani baadae alipata maono kuwa ni pale unapotaka kupata utajiri 'haramu' hivyo huenda anaelewa hali halisi ya kinachoendelea!
 
Back
Top Bottom