Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 1,299
- 3,977
Picha ya kudownload asante nimeweka link hapo nenda kaone acha utapeli bwana mdogo ...😂😂😂wewe ndo akili Huna kabisa sijaanza kupost ili kuuza shamba hili leo naomba tembea post zangu kwanza pili
Hiyo nilink ya group la mitiki lenye wafuasi 120 ninaloliendesha mimi tatu nimekutumia screenshot za miti yangu hatua za mwanzon Acha ujinga Acha kuwapotosha watu kama Huna ela ya kununua ni bora ukakaa kimya![]()