Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,648
- 6,405
Habari wajasiliamali wenzangu.
Ninashamba la mihogo tupu kama hekari tano5 nilisikia kua wachina wanahitaji mihogo kutoka kwetu tanzania mwenye connection naomba ani connect na hao wachina tufanye biashara.
Ahsanteni