Plot4Sale Shamba heka 100 linauzwa Tanga Tsh. Mil. 150

Half american

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
26,234
68,609
Shamba linauzwa

Liko- Tanga Tanzania.

Mahali- Handeni

Eneo- Kabuku

Umbali km 6 toka barabara kuu ya lami.

Ukubwa wake ni heka 100

Nyaraka za umiliki lina hati ya kijiji.

Ndani yake lina;

Mifugo;-mbuzi 120, kuku 40

V

Mabanda pamoja na pikipiki za uendeshaji shambani.

Pamoja na mazao mbalimbali kama mahindi, mboga mboga nk.

Bei Tshs. mil 150.

Maongezi yapo.

IMG_6103.jpg

IMG_6102.jpg

IMG_6100.jpg

IMG_6095.jpg

IMG_6091.jpg

IMG_6092.jpg

IMG_6085.jpg

IMG_6083.jpg

IMG_6108.jpg
 
Ndugu Mwekezaji imekuwaje tena unataka kuwakimbia Wazigua? Au umechoka kupigwa Zongo?
 
link ya post
Shamba heka 100 linauzwa Tanga Tsh. Mil. 150
 
Back
Top Bottom