Shamba boy

SI unit

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,953
766
Shamba boy akiwa amepiga pamba zake mpya baada ya kazi alikuwa akitembea mtaani, akakutana na mtoto wa geti kali mrembo kwelikweli. Shamba boy akaanza kumtongoza. Ktk kumwaga sera akajisifia anafanya kazi kwenye ofisi flan katikati ya jiji (POSTA). Mtoto akalainika wakapeana namba za simu. Kesho yake asubuhi kama saa 3 yule mtoto wa get akampigia shamba boy sim. Wakiwa katikati ya mazungumzo, mara jogoo akawika, ikifwatia mbuzi na ng'ombe. Binti akaingiwa hofu na kumuuliza: "Hizo sauti za wanyama zinatoka wapi huko ofisini kwenu?"
...
Shamba boy: "Actualy kuna chizi mmoja huwa anaigiza sauti za wanyama mbalimbali ndo amepita hapa mida hii"
 
scratching ......
scratching......
no voucher number found..try again
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom