Shamba boy na kijana wa saloon ya kiume(barbershop) wanatafutwa

bigmind

JF-Expert Member
Oct 28, 2015
12,326
2,000
Habarini, fursa kwa vijana wa kiume wanaoweza kujituma kufanya kazi; tunazo nafasi mbili maelezo ni kama ifuatavyo:-

SHAMBA BOY

# Awe mkristu.

# Mwenye nguvu na anayeweza kufanya kazi za kulima, kulisha mifugo(nguruwe,kuku,sungura, mbuzi, na ngombe) na kutunza shamba(mimea).

# Awe mwaminifu na mcha Mungu.

# Shamba liko Kibaha Pwani mshahara tutajadiliana.

KIJANA BABERSHOP

# Awe kijana wa kiume.

# Msafi na anayejua kuwahudumia wateja.

# Awe anaweza kunyoa na nywele, ndevu na pia kufanya scrubbing za aina zote.

# Awe Dar es salaam.

# Ataishi kwa boss kwa muda mpaka atakapoweza kujitegemea kama bado hajaanza kujitegemea.

# Awe ni mcha Mungu na mwaminifu sana.

# Mshahara tutajadiliana.

NOTE: Tunawapa mafunzo(training) kabla ya kuanza kazi.

MAWASILIANO:
0715365934.
 
Mgibeon

JF-Expert Member
Aug 7, 2011
9,477
2,000
Mkuu kuna kinyozi mzuri sana, na anafanya udambwidambwi wote wa salun za kiume, ila yeye ni Mwanamke, atakufaa? NB: Ni kinyozi mzuri kweli kweli, binafsi ameanza kuninyoa toka 2013 mpaka leo,
 
uniquelady

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
422
250
Shamba boy lazima awe anatoka dar as salaam pekee? Kuna kijana ni mchapakazi na mwaminifu yuko mwanza je atakubalika?
 
Ntu

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
816
500

Mkuu nitafutie na mimi, hata kama atakuwa ni mzee (60+) atanifaa pia; ninaishi Arusha. Kazi ni kuwa mfanyakazi wa shambani; ahudumie na mifugo michache (Kuku, sungura, bata, mbwa na mbuzi)
 
isihaka issa

Member
Jun 14, 2017
5
20
Mimi nipo kwa ajili ya barber shop Nina uzoefu wa muda mrf tuu je office ipo wap sehem gani mshahara pia bei gan kwa mwezi au malipo yako yakoje
 
isihaka issa

Member
Jun 14, 2017
5
20
Mkuu nitafutie na mimi, hata kama atakuwa ni mzee (60+) atanifaa pia; ninaishi Arusha. Kazi ni kuwa mfanyakazi wa shambani; ahudumie na mifugo michache (Kuku, sungura, bata, mbwa na mbuzi)
Twaweza wasiliana 0677754522 kwa Nina ni isihaka issa
 
Ntu

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
816
500
Twaweza wasiliana 0677754522 kwa Nina ni isihaka issa
Mkuu mimi ninahitaji mtu wa shambani na kuhudumia mifugo tu. Wewe naona unahitaji kazi za saloon, kwani kuna post ulisema "Mimi nipo kwa ajili ya barber shop Nina uzoefu wa muda mrf".
 
isihaka issa

Member
Jun 14, 2017
5
20
Mkuu mimi ninahitaji mtu wa shambani na kuhudumia mifugo tu. Wewe naona unahitaji kazi za saloon, kwani kuna post ulisema "Mimi nipo kwa ajili ya barber shop Nina uzoefu wa muda mrf".
Ni kweli hapo nimekupata niliona mtu anaitaji kinyozi xo nampataje huyu boss
 
isihaka issa

Member
Jun 14, 2017
5
20
Habarini, fursa kwa vijana wa kiume wanaoweza kujituma kufanya kazi; tunazo nafasi mbili maelezo ni kama ifuatavyo:-

SHAMBA BOY

# Awe mkristu.

# Mwenye nguvu na anayeweza kufanya kazi za kulima, kulisha mifugo(nguruwe,kuku,sungura, mbuzi, na ngombe) na kutunza shamba(mimea).

# Awe mwaminifu na mcha Mungu.

# Shamba liko Kibaha Pwani mshahara tutajadiliana.

KIJANA BABERSHOP

# Awe kijana wa kiume.

# Msafi na anayejua kuwahudumia wateja.

# Awe anaweza kunyoa na nywele, ndevu na pia kufanya scrubbing za aina zote.

# Awe Dar es salaam.

# Ataishi kwa boss kwa muda mpaka atakapoweza kujitegemea kama bado hajaanza kujitegemea.

# Awe ni mcha Mungu na mwaminifu sana.

# Mshahara tutajadiliana.

NOTE: Tunawapa mafunzo(training) kabla ya kuanza kazi.

MAWASILIANO:
0715365934.
Mkuu habarii yako ndugu me naomba kazi ya barber shop ndugu
 
Yapaswe

JF-Expert Member
Oct 19, 2016
323
250
Habarini, fursa kwa vijana wa kiume wanaoweza kujituma kufanya kazi; tunazo nafasi mbili maelezo ni kama ifuatavyo:-

SHAMBA BOY

# Awe mkristu.

# Mwenye nguvu na anayeweza kufanya kazi za kulima, kulisha mifugo(nguruwe,kuku,sungura, mbuzi, na ngombe) na kutunza shamba(mimea).

# Awe mwaminifu na mcha Mungu.

# Shamba liko Kibaha Pwani mshahara tutajadiliana.

KIJANA BABERSHOP

# Awe kijana wa kiume.

# Msafi na anayejua kuwahudumia wateja.

# Awe anaweza kunyoa na nywele, ndevu na pia kufanya scrubbing za aina zote.

# Awe Dar es salaam.

# Ataishi kwa boss kwa muda mpaka atakapoweza kujitegemea kama bado hajaanza kujitegemea.

# Awe ni mcha Mungu na mwaminifu sana.

# Mshahara tutajadiliana.

NOTE: Tunawapa mafunzo(training) kabla ya kuanza kazi.

MAWASILIANO:
0715365934.
Kuna kijana yupo tabora tena amesomea kilimom na mifugo anaweza kukufaa kama utapenda nimstue
 
Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,842
2,000
Mkuu nitafutie na mimi, hata kama atakuwa ni mzee (60+) atanifaa pia; ninaishi Arusha. Kazi ni kuwa mfanyakazi wa shambani; ahudumie na mifugo michache (Kuku, sungura, bata, mbwa na mbuzi)

Mkuu Mimi nipo Mbeya, Nina uzoefu wa kutunza mifugo, na pia ni "shamba boy msomi msomi" je nitakufaa ?

Naomba namba yako PM tafadhari
 
Mwanamaji

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
1,842
2,000
Habarini, fursa kwa vijana wa kiume wanaoweza kujituma kufanya kazi; tunazo nafasi mbili maelezo ni kama ifuatavyo:-

SHAMBA BOY

# Awe mkristu.

# Mwenye nguvu na anayeweza kufanya kazi za kulima, kulisha mifugo(nguruwe,kuku,sungura, mbuzi, na ngombe) na kutunza shamba(mimea).

# Awe mwaminifu na mcha Mungu.

# Shamba liko Kibaha Pwani mshahara tutajadiliana.

KIJANA BABERSHOP

# Awe kijana wa kiume.

# Msafi na anayejua kuwahudumia wateja.

# Awe anaweza kunyoa na nywele, ndevu na pia kufanya scrubbing za aina zote.

# Awe Dar es salaam.

# Ataishi kwa boss kwa muda mpaka atakapoweza kujitegemea kama bado hajaanza kujitegemea.

# Awe ni mcha Mungu na mwaminifu sana.

# Mshahara tutajadiliana.

NOTE: Tunawapa mafunzo(training) kabla ya kuanza kazi.

MAWASILIANO:
0715365934.

Mkuu umeshapata mtu wa shambani hasa hapo kwenye kutunza mifugo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom