Natafuta Kijana wa kuuza duka la jumla na rejareja Dodoma

Habari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:-
  • Awe kijana wa kiume
  • Amemaliza kidato cha nne
  • Awe mwaminifu
  • Awe mkazi wa Dodoma mjini
  • Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini
  • Awe tayari kufanya kazi kwa siku sita za wiki

Aliye tayari tuwasiliane.
Mkuu Kuna kijana vgezo vyote anavyo Sema ni wa kike mkuu yupo dodoma mjini
 
Mkuu nashauri pia uajiri binti na endapo upo tayari utaletewa na wadhamini wake wa kuaminika. Una ofa kiasi gani mshahara na muda wa kuwepo kazini asuhuhi saa 12 hadi saa ngapi jioni?
 
Habari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:-
  • Awe kijana wa kiume
  • Amemaliza kidato cha nne
  • Awe mwaminifu
  • Awe mkazi wa Dodoma mjini
  • Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini
  • Awe tayari kufanya kazi kwa siku sita za wiki

Aliye tayari tuwasiliane.
Nimekucheki. ME yupo
 
Sasa vijana wa sikuhizi na uaminifu wapi na wapi?😂😂😂😂
Hawahawa wanaoshinda wanajadili Simba na yanga na kuwaza aifoni?
We mwajiri mkeo kwa mkataba kabisa,na uwe unamlipa kama mfanyakazi wako.
 
Sasa vijana wa sikuhizi na uaminifu wapi na wapi?
Hawahawa wanaoshinda wanajadili Simba na yanga na kuwaza aifoni?
We mwajiri mkeo kwa mkataba kabisa,na uwe unamlipa kama mfanyakazi wako.
Labda awatafute wa kutoka kijijini kama Njombe huko au Singida ndanindani akija mjini baada ya mwaka akianza kuwa mjanjamjanja unamrudisha kwao unamsaka mwingine
 
Habari! Natafuta Kijana wa kuuza duka awe na sifa zifuatazo:-
  • Awe kijana wa kiume
  • Amemaliza kidato cha nne
  • Awe mwaminifu
  • Awe mkazi wa Dodoma mjini
  • Awe na mdhamini mkazi wa Dodoma mjini
  • Awe tayari kufanya kazi kwa siku sita za wiki
Aliye tayari tuwasiliane.
Mkuu Charity1 nishakutumia namba
 
Mkuu nakushauri uajiri binti,najua changamoto za kuajiri kijana wa kiume,utajuta,mambinti ni wazuri sana kwa swala la usimamizi was miradi kama hiyo
Mkuu kwenye biashara hakuna wa kiume au wa kike Cha kuomba mungu akupe mwenye afadhali
Niliwahi kuajiri wa kike nilijuta' anatongozwa na kila mtu akajiona kinara kazi kuchart tu kushinda mitandaon hata vumbi hafuti Wala hapangi vitu kwa mpangilio
Na akipenda boy anaweza kumuonga pesa zangu pia
Omba mungu akupe mtu sahihi!
Usichague jinsia
 
Back
Top Bottom