Shamba Boy anahitajika

Shamba Boy anahitajika

Anahitajika kijana wa kutunza shamba, awe na uzoefu kwenye kilimo na ufugaji. Eneo ni Mvuha Morogoro. Atapewa nyumba ya kulala na bima ya afya. Wasiliana nami DM
PM nimeshindwa naomba tuwasiliane
0703826142
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom