Huo mwendo ananikumbusha tukiwa watoto ilikuwa ukitoka kuangalia movie kali basi unatoka hapo na wewe unataka kufanya kama kina Rambo...Van Damme.... Solo.....
Hapo dogo natembea (slow) kama Rambo akisubiri bomu lilipuke...huenda anasema iyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Mimi nilikua napenda American ninja 5 duuh!!
Dogo amenifurahisha vile alivyo vaa hicho kibarakatu chake kama ma mwinyi wa Bwagamoyoo.......hahahahaaaaaaa...