Gonzalo Miguel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 850
- 661
acha Uongo Kuna watu tumezaliwa kwa bahati Mbaya....Until now sielewi dhumuni kuu la kuepo hapa duniani zaida ya kuteseka na maishaUsijidanganye mkuu....moto upo,rejea Kwenye volkano vizuri utapata majibu..
Hakuna kilicholetwa duniani kwa bahati mbaya...
Pole sanaa mkuu..acha Uongo Kuna watu tumezaliwa kwa bahati Mbaya....Until now sielewi dhumuni kuu la kuepo hapa duniani zaida ya kuteseka na maisha
They Say better days are comin
But There's some Cholo die without see that better days
Totally in my perception Life Is Meaningless
There's no Importante thing with it
life always sucks
Nimepakumbuka kwetu wakati wa mgeni anapo tengewa uji na muhindi wa kuchoma, kwenye meza iliyopambwa na kitambaa kilicho fumwa mezani...View attachment 1603191
Yan hapo maji yanatoka ya baridi kama yalikuwa kwenye jokofuPanya akidumbukia mnamuona siku ya kuosha mtungi
View attachment 1603179
GeniusKwangu Mungu namuona kama alishamaliza kazi yake na kuacha system ijiendeshe! Simfikirii kama ni kiumbe cha miujiza! Kwamba ukivunjika mguu basi unaweza muomba na akakutibu ndani ya sekunde moja!.. yeye kila kitu alishahifadhi kwenye ubongo wetu na nature system na ktk hili ninapata tumaini ya kuwa huenda tukiangalia mazingira na kila kitu tutajua sifa za Mungu kuliko kusikiliza hadithi za kale!.. fikiri ktk zile nyumba na vitabu ati imeandikwa kuwa anaponya lkn kaangalie wagonjwa wengi wapo kwenye hizo nyumba au ktk hospitali..? Utagundua wagonjwa wengi wapo hospitali!.. tumeshapewa kila kitu kuanzia muda,akili,miti,chakula na hewa n.k tusitegemee muujiza bwana yule Kesha maliza kazi yake na hakuna cha muujiza system itajiendesha na huo ndio ukweli mchungu.
maji matam sana ya humo ndaniPanya akidumbukia mnamuona siku ya kuosha mtungi
View attachment 1603179
Hii kitu nmeikuta mwambao mwa lake Tanganyika ,wanapigwa bomba watoto back na dawa flan ya kienyeji .Kama tumbo linazingua ili kuondoa uchafu
Ukisinzia unakutana na kofi,na ole wako wese limwagike utajutaUkipewa kazi ya kushika kibatali wakati mama anapika ni kosa la jinai kusinzia. Lol
View attachment 1603217
Ahaaa Bukoba vijijini, ndizi na lubisi huku ukishushia na senene pamoja na kumbikumbi...aisee, raha sana.Imagine watu hawa wameishi katika maisha haya magumu halafu bado tena anafikia motoni Jamani.. Daah
View attachment 1603166
Nimemiss maisha yale tuliyokulia (eneo letu) obvious watu wengi tumekulia mazingira haya kutoa vijana wa dar.
Unawezakuta huyo dogo mlangoni ndio mtoto wa kwaza analinda wadogo zake na nyumba hapo. Unakuta wakienda kucheza wanakua wanaenda kwa zamu zamu kuagali nyumba kama ipo salama..mama yupo zake sokoni kuuza mihogo aliyoichimba asubuhi au yupo kulima vibarua huko
View attachment 1603164
Naskia moto pia una grade mkuu[emoji23][emoji23][emoji23]Imagine watu hawa wameishi katika maisha haya magumu halafu bado tena anafikia motoni Jamani.. Daah
View attachment 1603166
Kweli maisha ni Safari ndefu,Mungu azidi kuwabariki wazazi waliotulea kwa maumivu mengi.nasi tuwe wazazi wemaNimemiss maisha yale tuliyokulia (eneo letu) obvious watu wengi tumekulia mazingira haya kutoa vijana wa dar.
Unawezakuta huyo dogo mlangoni ndio mtoto wa kwaza analinda wadogo zake na nyumba hapo. Unakuta wakienda kucheza wanakua wanaenda kwa zamu zamu kuagali nyumba kama ipo salama..mama yupo zake sokoni kuuza mihogo aliyoichimba asubuhi au yupo kulima vibarua huko
View attachment 1603164
Nimependa ulivyoandikaHongereni wote mnaoitwa mama, si kazi ndogo. Ambao hamjajaliwa msikate tamaa Mungu yupo. Naamini Mungu ana nafasi yenu special kwa Upendo wenu
View attachment 1603178
Ugali unasongewa chini( bila Moto) hii imekaaje wadau? Mimi ugali nasonga kwenye Moto nwanzo mwisho.Hawa watu wanauwezo mkubwa sana kuazia kwenye kutenda ana akili basi tu wanajidekeza. Hafu dunia imekaa kiume inawaandamainiView attachment 1603193
Ugali wa mhogo unaweza kupika hata ukiweka sufuria chini, kwamaana wenyewe hauhitaji moto mwingi kama ulivo wa mahindiUgali unasongewa chini( bila Moto) hii imekaaje wadau? Mimi ugali nasonga kwenye Moto nwanzo mwisho.
Wale wa manyovu hamna kituNawajua wa mpakani tu Huko manyovu, naona watu wa mikoani wanawapapatikia sana wanyarwanda wakati huku wamejaa wanakosa hata wa kuwaoa
Asante boss, sikuwa najua hiliUgali wa mhogo unaweza kupika hata ukiweka sufuria chini, kwamaana wenyewe hauhitaji moto mwingi kama ulivo wa mahindi