Shaking up some old memories

Usijidanganye mkuu....moto upo,rejea Kwenye volkano vizuri utapata majibu..

Hakuna kilicholetwa duniani kwa bahati mbaya...
 
Dogo wa hivi akija dar lazima awe bahili hatari, sio kwamba anapenda ila anajua alipotoka maisha yalivyo so anathamini Every penny he get
View attachment 1603185
Hiyo inatukumbusha siku za Jumamosi na Jumapili ambazo tulikuwa hatwendi shule hivyo ilikuwa lazima kwenda shambani na kusaidia Wazee kulima. Jambo lililonivutia ni kila mtu kupimiwa eneo la kulima, na hakuna kuondoka mpaka umalize plot yako πŸ™Œ
 
Hatari sana, sijui kwanini hawa viumbe wanaitwa dhaifu?.
Udhaifu wao unakuja kwenye reasoning and decision, huwa wanatumia hisia sana kwenye kufanya maamuzi , ukilinganisha na wanaume ambao huwa tuna fanya maamuzi bila ya kuweka hisia.

Tukienda kimwili wanawake wana misuli mingi eneo la chini yaani chini ya tumbo wana misuli mingi kuliko juu ,hii ni ili iwasaidie katika kazi kubwa watakayoifanya (kubeba mimba watoto pamoja na watu wazima [emoji16]) , ulilinganisha na sisi wanaume ambao juu tumeumbika kwa misuli mingi kuliko chini hii ni ili tufanye kazi za nguvu, kubwa hence umbo la cone .

Hope umepata angalau mwanga wa udhaifu wao.
 
Sasa subiri ujionee[emoji4][emoji4]

Sent from my MRD-LX1 using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…