Kule Uvinza Kuna Eneo Ukitoka Mpeta Kabla Ya Daraja La Kikwete, Ipo Sehemu Inaitwa Kitongoji Kijiji Kinaitwa KatotoDogo wa hivi akija dar lazima awe bahili hatari, sio kwamba anapenda ila anajua alipotoka maisha yalivyo so anathamini Every penny he get
View attachment 1603185
Kuna ule msemo maarufu hua mnasema "Imbwa yahevye mwino, na igakula"🤣🤣🤣Mkuu
Nimeona Haa😁
Unajua Tatizo Kumbukumbu Zetu Zinakuwa Sawa Hasa Unavyoturejesha Nyuma
Naona Funza 😁😂😂Ndiyo Ametoka Kwenye Kidole, Mama Anauza Zambarau
Kigoma Kuna Mashindwi 😁😂😅😄
Kwangu Mungu namuona kama alishamaliza kazi yake na kuacha system ijiendeshe! Simfikirii kama ni kiumbe cha miujiza! Kwamba ukivunjika mguu basi unaweza muomba na akakutibu ndani ya sekunde moja!.. yeye kila kitu alishahifadhi kwenye ubongo wetu na nature system na ktk hili ninapata tumaini ya kuwa huenda tukiangalia mazingira na kila kitu tutajua sifa za Mungu kuliko kusikiliza hadithi za kale!.. fikiri ktk zile nyumba na vitabu ati imeandikwa kuwa anaponya lkn kaangalie wagonjwa wengi wapo kwenye hizo nyumba au ktk hospitali..? Utagundua wagonjwa wengi wapo hospitali!.. tumeshapewa kila kitu kuanzia muda,akili,miti,chakula na hewa n.k tusitegemee muujiza bwana yule Kesha maliza kazi yake na hakuna cha muujiza system itajiendesha na huo ndio ukweli mchungu.Hongereni wote mnaoitwa mama, si kazi ndogo. Ambao hamjajaliwa msikate tamaa Mungu yupo. Naamini Mungu ana nafasi yenu special kwa Upendo wenu
View attachment 1603178
Aho Lelo!!!Kuna ule msemo maarufu hua mnasema "Imbwa yahevye mwino, na igakula"🤣🤣🤣
View attachment 1603190
Dah nami nimekumbuka kwetu asee, ila sie menyu yetu 5starNimepakumbuka kwetu wakati wa mgeni anapo tengewa uji na muhindi wa kuchoma, kwenye meza iliyopambwa na kitambaa kilicho fumwa mezani...View attachment 1603191
Huyo ni majaliwa 🤣🤣🤣dah jamaniAmakweli walimu wametoka mbali sana aiseeeee.....View attachment 1603194
Leo ukimpelekea hiyo picha, lazima ukutane na pingu kwa kumtukana kiongozi....[emoji41][emoji41]Huyo ni majaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]dah jamani
Nawajua wa mpakani tu Huko manyovu, naona watu wa mikoani wanawapapatikia sana wanyarwanda wakati huku wamejaa wanakosa hata wa kuwaoaKule Uvinza Kuna Eneo Ukitoka Mpeta Kabla Ya Daraja La Kikwete, Ipo Sehemu Inaitwa Kitongoji Kijiji Kinaitwa Katoto
Kuna Wanyarwanda Tupu Na Kazi Yao Kufuga Na Bhudyohe 😁😂
Kuna mada nilianzisha jumatatu wakaipiga pini, nikairudisha nikala ba ya siku 4 ikabidi niwe mpole asee. Hata mm siamini kaa kuna kuvhomwa moto, ila naamini kuna ufufuko kwa wale waliotenda mema ambao hakutenda yapasayo labda watafutwa existence yao. Kama mm siwezi kuchoma mdudu anayetambaa kwenye moto vipi kuhusu kuchoma mwanangu ninayempenda?? Yahitaji uwe na roho mbaya sanaHakuna Moto ndugu ukishakufa ndo imetoka hiyo.. ni kama vile kabla hujazaliwa hukuwepo na ufahamu wako haukuwa tambuzi!
Hofu yetu inazaliwa pale tunapokosa majibu ya kile ambacho hatukijui!.. baadhi ya vitu kwenye ulimwengu huu bado vimeendelea kuwa siri!,na chaajabu sio kwamba vimefichwa no! Vipo wazi isipokuwa inahitaji nguvu ya akili na mwili ili tuvifumbue!.
Huenda ukawepo ulimwengu wa kiroho ila sivyo ulivyo kama wengi wanavyodhania!.. hakuna aliekuuliza wewe kuwa hai na huenda hata ukiwauliza waliokuzaa hawana sababu ya msingi ya kukujibu ya kwanini walikuzaa! Japo wengi huona kama ni kufuru swali hilo ila linamantiki!.. Mara nyingi penye kiza ndipo hujihifadhi siri!.. Nina mengi ngoja niweke dot.
Nakumbuka alianza kujipenyeza kwenye jukwaa la siasa baada ya kuteuliwa Mwaka 2000 kua Mkuu wa Wilaya nimeiasahau jinaIlikuaje hadi kaingia kwenye siasa. Kweli hela haimkatai mtu..One day
Hapa umefikili kama mm nilivyowahi eleza kwenye mada moja, Unadhani Mungu bado anaumba tu au ashaweka system au anatenda kazi kwa kila ombi moja liombwalo..naamini kuna system ishawekwa anaendesha tuKwangu Mungu namuona kama alishamaliza kazi yake na kuacha system ijiendeshe! Simfikirii kama ni kiumbe cha miujiza! Kwamba ukivunjika mguu basi unaweza muomba na akakutibu ndani ya sekunde moja!.. yeye kila kitu alishahifadhi kwenye ubongo wetu na nature system na ktk hili ninapata tumaini ya kuwa huenda tukiangalia mazingira na kila kitu tutajua sifa za Mungu kuliko kusikiliza hadithi za kale!.. fikiri ktk zile nyumba na vitabu ati imeandikwa kuwa anaponya lkn kaangalie wagonjwa wengi wapo kwenye hizo nyumba au ktk hospitali..? Utagundua wagonjwa wengi wapo hospitali!.. tumeshapewa kila kitu kuanzia muda,akili,miti,chakula na hewa n.k tusitegemee muujiza bwana yule Kesha maliza kazi yake na hakuna cha muujiza system itajiendesha na huo ndio ukweli mchungu.