Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 19,407
- 25,929
Nchi kama Tanzania inabidi kujivunia sana kuwa na mwanamuziki kama ALIKIBA.Chama cha Mapinduzi chini uongozi wa Rais Samia kitaendelea kusimamia demokrasia ya kweli na kwa vitendo, tuko tayari kupokea matokeo yoyote ya uchaguzi katika jimbo la Ushetu Kahama, Konde Pemba na kata 3 tunazofanya uchaguzi wa marudio 10 Oktoba 2021.
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri kuu ya CCM Taifa itikadi na Uenezi
Kahama Tathimini ya uchaguzi
7 Oktoba 2021
View attachment 1967003