Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Tatizo la watu wa aina yako ni kukosoa na kukejeli halafu siku ya uchaguzi mnaamka saa nane mchana na kuwasha TV kuangalia kama vurugu zimetokea sehemu fulani.Aina ya uongozi na viongozi wa nchi yetu huwa naona wanafanana sana wasanii wa
bongo movie, ni watu ambao wako nyuma na muda ila wanajiona wamefanya kazi kubwa kweli yani ambacho tulitakiwa tufanye miaka kumi nyuma wao huko wao wakifanya leo wao wanajipongeza kabisa, hawana mawazo mapya wote wanafikiria mule mule ndani ya box tu.
Hamtimizi wajibu wenu na mnachoweza ni malalamiko na masimango ya mtandaoni, mambo yanayopotea kama upepo wa ufukweni.