Shaka Hamdu Shaka: CCM haitavumilia wananchi kubambikwa kesi

Nimefurahi amekiri polisi kubambika watu kesi
 
Whaat!
Hivi huyu mtu ana maana ya wana CCM kubambikiwa kesi ama hata pia na wananchi wote kwa ujumla!? Nafikiri hili swali pia atakutana nalo kutoka kwa IGP.
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
Huyu Mwamba Shaka anatisha sana kwa uzalendo alionao,

Tunataka viongozi kama hawa Tanzania.

Viongozi wasimame na wananchi wakati wote.

Hongera sana Shaka hii ndio CCM ya Mwl Nyerere.
Anaongelea kahama,hapo dar waliobambikiwa. kesi hawaoni?
 
Bila shaka kuna Wana Ccm, kisha kuna wananchi, sasa sijajua kawalenga akina nani
 
Tusitegemee lolote kuhusu hao.damu ni ilele na falsafa ni zilezile.bila kufanya mabadili ya kifikra,kikatiba,kimfumo tutaendele kujaza matatizo juu ya matatizo.wana ushetu wasidanganyike ni wkt wa kuchukua hatua kinzani sasa.hizo kijani zitatumaliza.
 
Huyu Mwamba Shaka anatisha sana kwa uzalendo alionao,

Tunataka viongozi kama hawa Tanzania.

Viongozi wasimame na wananchi wakati wote.

Hongera sana Shaka hii ndio CCM ya Mwl Nyerere.
Hizi propoganda ndizo zinazoliangamiza taifa hili.naona wapigaji wako busy humu ndani kitetea uchafu uendelee.wanaushetu wasipokuwa watakuja Lia kilio Cha mbwa.tunafahamu muda wa kampeni udanganyifu mwingi unafanya kuwahadaa wananchi ili wahuni waendelee kuumiza maskini.waache bla bla chukueni hatua stahiki ili wajue Sasa wananchi tumechoka na haya magenge ya wahuni.
 
 
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,

#Endeleeni kumsapoti Mama,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…