Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 80,836
- 93,617
Hata Mbowe kabambikwa kesiHuu wako niunafiki,
Mbona Shaka ameongea kizalendo sana kwa uchungu wewe unatakaje?
Hata Mbowe kabambikwa kesiHuu wako niunafiki,
Mbona Shaka ameongea kizalendo sana kwa uchungu wewe unatakaje?
Nimefurahi amekiri polisi kubambika watu kesiKuna kazi ngumu sana kufanywa, mojawapo ni hii aliyojipa Shaka, anawalaumu washirika wao kwa mateso wanayowatendea watanzania kwa manufaa ya chama chake, Shaka aache usanii, anajua chama chake hakipendwi asijivike kilemba feki cha uzalendo wengi wanabambikiwa kesi kwa manufaa ya CCM.
Whaat! Hivi huyu mtu ana maana ya wana CCM kubambikiwa kesi ama hata pia na wananchi wote kwa ujumla!? Nafikiri hili swali pia atakutana nalo kutoka kwa IGP.Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968220
View attachment 1968223
Mahakama itasemaHata Mbowe kabambikwa kesi
Kwa hiyo watu wawe wanabambikwa kisa mahakama itasema?Mahakama itasema
sasa wewe utajuaje mkuu?Kwa hiyo watu wawe wanabambikwa kisa mahakama itasema?
Shaka alijuaje?sasa wewe utajuaje mkuu?
Walimletea malalamikoShaka alijuaje?
Nzuri hiiTanzania na Samia,
1.Uchumi Juu,
2. Uwekezaji juu
3. Diplomasia juu
4. Amani & Upendo juu
5. Maendeleo juu
6. Demokrasia juu
Anaongelea kahama,hapo dar waliobambikiwa. kesi hawaoni?Huyu Mwamba Shaka anatisha sana kwa uzalendo alionao,
Tunataka viongozi kama hawa Tanzania.
Viongozi wasimame na wananchi wakati wote.
Hongera sana Shaka hii ndio CCM ya Mwl Nyerere.
Kesi mbambiko juu.Tanzania na Samia,
1.Uchumi Juu,
2. Uwekezaji juu
3. Diplomasia juu
4. Amani & Upendo juu
5. Maendeleo juu
6. Demokrasia juu
akina nani?Anaongelea kahama,hapo dar waliobambikiwa. kesi hawaoni?
Bila shaka kuna Wana Ccm, kisha kuna wananchi, sasa sijajua kawalenga akina naniShaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968220
View attachment 1968223
CCM sio wananchi?Bila shaka kuna Wana Ccm, kisha kuna wananchi, sasa sijajua kawalenga akina nani
Tusitegemee lolote kuhusu hao.damu ni ilele na falsafa ni zilezile.bila kufanya mabadili ya kifikra,kikatiba,kimfumo tutaendele kujaza matatizo juu ya matatizo.wana ushetu wasidanganyike ni wkt wa kuchukua hatua kinzani sasa.hizo kijani zitatumaliza.Kwa hiyo wenye kuvaa mavazi ya kijani pekee ndio hawastahili kubambikiwa kesi na polisi chini ya huyo muheshimiwa sana sio, vipi wale wanaotamani wayapate hayo mavazi ya kijani lakini tozo zime wanyonga, pamoja na na ukosefu wa haki zao za msingi kutokana na Hawa wanaowabambikia, hawa kwa umoja wetu tujiweke katika kundi lipi, au sisi mmetutenga rasmi, tunaomba majibu ili tufahamu.
Hizi propoganda ndizo zinazoliangamiza taifa hili.naona wapigaji wako busy humu ndani kitetea uchafu uendelee.wanaushetu wasipokuwa watakuja Lia kilio Cha mbwa.tunafahamu muda wa kampeni udanganyifu mwingi unafanya kuwahadaa wananchi ili wahuni waendelee kuumiza maskini.waache bla bla chukueni hatua stahiki ili wajue Sasa wananchi tumechoka na haya magenge ya wahuni.Huyu Mwamba Shaka anatisha sana kwa uzalendo alionao,
Tunataka viongozi kama hawa Tanzania.
Viongozi wasimame na wananchi wakati wote.
Hongera sana Shaka hii ndio CCM ya Mwl Nyerere.
Shaka : IGP Simon Siro tupia jicho lako kwa baadhi ya askari wako wilayani Kahama na kwingineko | Wanabambika watu kesi kubwa na nzito na baadae kuwatoza faini tena bila risiti kamwe CCM hatutavumilia hili |
"Wananchi ninazo taarifa juu ya vitendo viovu vya kupambikwa kesi za kukamatwa na bangi na hata mauaji kwa vijana na wanawake vinavyofanywa na baadhi ya askari wetu wasio waaminifu wanaotaka kulitia doa jeshi letu la Polisi, hili halikubaliki"
"Kibaya zaidi wanapowafikisha watuhumiwa polisi, hawawapeleki hata mahakamani badala yake wanatozwa faini ambazo hazina hata stakabadhi yeyote, niwakikishie wananchi Serikali ya CCM inayongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan haitavumilia jambo hili tunasimama upande wenu, kuweni na amani endeleni kutiii sheria bila shurti"
"Chama Cha Mapinduzi tutazungumza na IGP leo hii jicho lake liangalie wilaya ya Kahama haiwezekani wananchi wako kwenye nchi huru leo hii wakafanywa wanaishi kama wakimbizi kwa vitu vya kusingiziana na kubambikiziana kesi kubwa na nzito"
"Jumamosi tarehe 9 Oktoba, 2021 ili akashirikiane na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Wanaushetu mchaguenu Ndg Emmanuel Cherehani anatosha na amekidhi vigezo na viwango vya kuwa mbunge wenu wa 2021-2025"
Shaka Hamdu Shaka
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi
#Ushetu-Kahama Kampeni CCM
View attachment 1968218
View attachment 1968220
View attachment 1968223
Anaitwa mama, rais wa JMT, amir jeshi mkuu, kipenzi cha watu, Tanzanite lady, mkombozi wa watanzania,Nawasalimu kwa jina la JMT,
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025, kupokea taarifa za mashina na kuhamasisha wananchi kushiriki zoezi la sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 katika Mkoa wa Mtwara.
Shaka ameonekana kutoridhishwa na kasi ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025,Pamoja na serikali kutoa 157.8BL kwaajili ya Ukarabati wa bandari ya Mtwara kwaajili ya kutoa ajira mpya kwa Watanzani mradi bado unasuasua hali iliyopelekea Shaka kutoa Kalipio kali kwa Uongozi wa Mkoa wa Mtwara.
Shaka amewaonya vikali watendaji wa Serikali wanaotaka kukwamisha maendeleo ya Watanzania na kwakufanya hivyo Wanamkwamisha Rais Samia Suluhu Hassan katika juhudi zake za kuharakisha na kurahisisha maendeleo ya Wanamtwara na Watanzania kwa ujumla wake.
View attachment 1943022