Shaka Hamdu Shaka aisifu mahakama ya Tanzania kesi ya Freeman Mbowe

"Nimeona vibwagizo vya wenzetu huko mitandaoni kuwa wameruhusiwa kuingia mahakamani na simu pamoja na kufuatilia kesi ya kiongozi wao leo.

Niwaambie huo ndio Uhuru wa Mahakama na ndio Utawala wa Sheria kama msingi wa Demokrasia ya kweli chini ya utawala wa CCM na serikali makini inayoongozwa na Rais hodari, jasiri na mwenye uthubutu Mhe Samia Suluhu Hassan...

Kiongozi mchapakazi ni Shaka,

Kiongozi mwadilifu ni Shaka,

Kiongozi mpenda demokrasia ni Shaka,

Kiongozi mpenda amani ni Shaka,

Kiongozi msikivu ni Shaka,

Kiongozi mpenda chama ni Shaka,

#SHAKAKAMASHAKA NI JEMBE
 
Chadema tangu lini mkawasaidia CCM kutafuta viongozi bora ?

Shaka kama Shaka tunamwandaa kwa nafasi ya juu kabisa miaka ya mbeleni,

Niswala la muda tu,

SHAKA PIGA KAZI HAWA MERCENARIES WASIKUTISHE,
 
HAPA TATIZO NI UKATIBU WA UENEZI TU,

HAYA MAMBO KUPOKEZANA TU,

KUTWA KUMSHAMBULIA SHAKA UTADHANI ALIJITEUA,

MNYONGE MNYONGENI SHAKA HUWEZI KUMFANANISHA NA VITU VYA HOVYOHOVYO,


Waendelee na shule ya Uongozi,
Au mnataka na Shaka awe Mwl?

CCM TUNAIMANI KUBWA SANA NA SHAKA
 
HAPA TATIZO NI UKATIBU WA UENEZI TU,

HAYA MAMBO KUPOKEZANA TU,

KUTWA KUMSHAMBULIA SHAKA UTADHANI ALIJITEUA,

MNYONGE MNYONGENI SHAKA HUWEZI KUMFANANISHA NA VITU VYA HOVYOHOVYO,
Mimi nawashambulia wateuaji na wateuliwa. Wanajifanya kufurahia hayo yatendekayo mahakamani kumbe wanaumia moyoni,maana hawakupendezwa na watazamaji kuwepo hapo kwenye hiyo kesi.
 
#SHAKAKAMASHAKA

IMG-20210916-WA0054.jpg
 
Back
Top Bottom