Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Sawa mdogo wanguSawa dada tumekuelewa, ngoja tupambane kusaka noti
Sawa mdogo wanguSawa dada tumekuelewa, ngoja tupambane kusaka noti
Sakayo sakayo...ndomana nakupenda , such kinda smart woman.Sababu inasingiziwa mapenzi tuu ila maisha bila hela nayo hayaendi!
Tujitume kwa manufaa ya watoto wetu na sio mapenzi tuu!
Ulichosema ni kweli, kama hakuna unachotegemea mwisho wa mwezi usijiingize kwenye mapenzi kabisa maana utaishia kuumia na mwisho depression tu
Nashukuru sana jamaniSakayo sakayo...ndomana nakupenda , such kinda smart woman.
sureUkiwa huna unachoingiza utadharauliwa mpaka na beki tatu wenu,mhimu tutafute pesa popote ilipo
Sent using Jamii Forums mobile app
DuhNilikuta message ya mdada akisema
^^^huna pesa unatoa wapi ujasili wa kupata nyege?^^,
Mapenzi ni pesa ila upendo huyumba kama hamna pesa
I will rethinkkama hiyo mwanamke ulienae anashindwa kukupa njia zake kutafuta pesa na kujifanya urejeshe confidence ya utafutaji basi sio mtu sahihi... There are plenty of good women around
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli aliitoa Mwamba wa kuitwa RASHID katika kitabu cha kuitwa KULI...kilichoandikwa na Shafi Adam ShafiPole sana yana mwisho hayo..