Shahidi kesi ya Mbowe: Nilipigwa jiwe, nikazimia

Huyu wakili amefanya kazi ya kumuongoza shahidi(askari) kutoa ushahidi mahakamani, bado wakili wa upande wa mashta atakuja.
Asante kumbe ni mchezo Wa kijitekenya na kucheka mwenyewe yaani maswali wanapanga wao kituoni halafu wanakuja kuigiza mahakamani?
 
Ndio maana serikali huwa inaangukia pua kesi zake. Kwa mawakili Kama Hawa ...it's a shame
 
Asante kumbe ni mchezo Wa kijitekenya na kucheka mwenyewe yaani maswali wanapanga wao kituoni halafu wanakuja kuigiza mahakamani?
No ni utaratibu wa kimahakama, yaani huyo ni team moja na askari, upande B bado, ule wa maswali ya kichokozi.
 
Tuletee mahojiano ya upande wa pili, hayo yamekaa kama Dialogue za Movies script!
 
Hashikwi mtu hapo, tunapoteza muda tu.

Hao polisi wakiambiwa wathibitishe ni kweli akina mbowe walisababisha kifo kwa marehemu hawawezi, na pia chadema wakiambiwa wathibitishe polisi wenyewe waliua hawawezi, RIP akwirina.
Haki za raia na maisha yao vitaendelea kukosa thamani kwa sababu hadharani hakuna anayeweza kuhoji
 
shahidi huwa anahojiwa na pande zote mbili....
 
Kitabu kizuri story ya binti Olabis aliyepitia masahibu ya kutaka kufanyiwa female genital mutilation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…