Shahawa zako ndiyo utajiri wako.

Shahawa zako ndiyo utajiri wako.

Huu ni ujasiriamali mpya mkuu?Hebu tuaambie tunapataje Hiyo mihela,tuanze kuzitunza
 
Siongei mengi... vijana acheni kutoa toa hovyo shahawa. Acheni ngono hovyo hovyo wala kupiga punyeto hovyo hovyo.

Tunzeni shahawa!

Sent from my SM-G800F using JamiiForums mobile app
Siunajua tezi dume chifu, basi uwe na hekima na kinga ni bora kuliko tiba. Ishi kwa maadili hivyo usifanye ngono, ila kuhusu utajiri na mafanikio, chakarika mkuu hakuna shahawa itakayakupa mafanikio au utajiri.
 
Back
Top Bottom