Shahawa zako ndiyo utajiri wako.

Shahawa zako ndiyo utajiri wako.

Tunahitaji katiba mpya.
Mimi maoni yangu kwenye katiba. Kuwepo na vitu ambavyo havita husika na uwekezaji na katiba itamke wazi
1. Mlima kilimanjaro
2. Bandari.
3.Hifadhi za wanyama
4. Madini ya Tanzanite.
Wanashindwa kuwekeza mwenge wa uhuru wanawekeza bandari wapo serious kweli?
Eanamapori mangapi kuanzia lindi mpaka Tanga huyo mvaa kinjunga si wampe tuu ajenge bandari mpya?
 
Back
Top Bottom