Shahawa zako ndiyo utajiri wako.

Shahawa zako ndiyo utajiri wako.

Afrika kuna ujinga mwingi sana!
 
Mimi maoni yangu kwenye katiba. Kuwepo na vitu ambavyo havita husika na uwekezaji na katiba itamke wazi
1. Mlima kilimanjaro
2. Bandari.
3.Hifadhi za wanyama
4. Madini ya Tanzanite.
Wanashindwa kuwekeza mwenge wa uhuru wanawekeza bandari wapo serious kweli?
Eanamapori mangapi kuanzia lindi mpaka Tanga huyo mvaa kinjunga si wampe tuu ajenge bandari mpya?

Mkuu Kwann umeanza na mlima Kilimanjaro? Je wajua kwamba mlima Kilimanjaro ni hifadhi ya taifa? Lakini pia wajua Serengeti pia ni hifadhi ya taifa? Sasa je wajua watalii wanaotembelea mlima Kilimanjaro ukiwazidisha mara mbili hadi tatu Ndio unapata idadi ya watalii wanaotembelea hifadhi ya Serengeti kwa mwaka? Pole pole sasa je wajua mapato yatokanayo na utalii ya Serengeti ni Mara mbili hadi tatu ya mapato yatokanayo na Kilimanjaro? Umeona eeeh? Fatilia taarifa mkuu, fatilia bajeti inaendelea Dodoma angalia safari channel! Sasa rudi upya Kwann umeuweka mlima Kilimanjaro namba 1? Je wajua hifadhi ya Serengeti inachukua tuzo ya hifadhi bora zaidi kwa zaidi ya miaka mitatu sasa mfululizo? Haya mm naishia hapa.
 
Kilimanjaro mlima... ongeza KIA airport kuna vitu mle ndani mererani wakajifunze. Kaa karibu na watu walio fanya kazi na mwalimu zamani watakuhadithia. Although niliuweka kwa mapenzi tuu maana hawaoni haya hawa kumpa hata mkenya auendeleze
 
Back
Top Bottom