Shahada ya uzamili udom haitambuliki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shahada ya uzamili udom haitambuliki?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ng'wabuki, Nov 30, 2011.

 1. n

  ng'wabuki Member

  #1
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa muda sasa wahadhiri waliohitimu masomo yao ya shahada ya pili na kupandishwa madaraja yao kitaaluma na chuo. Cha kusikitisha ni kuwa wahadhiri hao wana mwaka mzima sasa hawajalipwa mshahara wa ngazi yao mpya na yamekuwepo majibu yasiyoeleweka juu ya malipo hayo japo chuo chao kinadai kilishatuma madai yao ya mshahara huo mpya hazina, wizara ya elimu na ofisi ya rais utumishi.

  Swali hapa je ndo kusema taifa kupitia wizara ya elimu limewapotezea muda wao wahadhiri hao kusoma shahada ya pili chuoni hapo nakuona hawastahili kulipwa madai au mshahara wao huo mpya? Ama hazina, utumishi na elimu mnataka walimu hawa wafanye nini waweze kulipwa stahiki zao wakati wao wanatumikia taifa bila kukopesha huduma yao kwa wanafunzi?

  Inasikitisha sana kuona wahadhiri hawa hawajaliwi wakati wasomali na waimbizi wengine wanahudumiwa vizuri pasipo mchango wowote wa maana ukilinganisha na wataalamu hawa.

  Mawaziri mkulo, Ghasia na Kawambwa mnataka mpewe nini na wahadhiri hawa muweze kulipa stahiki zao?
   
 2. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kichwa cha habari kinaonyesha mtazamo hasi tu kwenye masters za udom kitu ambacho si cha kweli wala sio sababu ya wahadhiri kutolipwa nyongeza zao,tatizo ni urasimu tu katika mambo ya ya fedha ila mwisho wa siku watalipwa pamoja na malimbikizo yao
   
 3. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #3
  Dec 1, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu jamaa ana lake jambo.!
   
 4. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #4
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 324
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Lipi tena hilo?
   
 5. YEYE

  YEYE JF-Expert Member

  #5
  Dec 1, 2011
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 440
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Badilisha HEADING
   
 6. K

  KWETU PAZURI Senior Member

  #6
  Dec 2, 2011
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 161
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ana nia ya kupotosha watu
   
 7. Sordo

  Sordo JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Basi tutemane naye, japo tatizo la kupanshisha daraja na kulipwa kiwango cha mshahara stahiki ni tatizo kila sector ya serikali (polisi, walimu, manesi n.k)
   
 8. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #8
  Dec 2, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  content na kichwa cha habari haviendani
   
 9. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #9
  Dec 2, 2011
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 455
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jipange kabla ya kupost
   
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Umangimeza wizarani umesabisha kipato chenu kisitune.
   
Loading...