The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,434
- 10,970
Hayo uliyoyataja Kuna Nchi yeyote hapa Duniani imeyamaliza?Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Hatari sana mkuu 😂Shahad ya tozo na hili nalo mkalitizame
Angepewa cheti (certificate) cha tozo!We ulipendekeza apewe shahada ya nini mkuu?
Hakuna Mwanaccm mwenye aibuLeo nimekubali kuwa JK hana aibu na anajua watanzania hawamuelewi na hawajui alichokifanya Chuo Kikuu cha Dar es sallam leo.
Shahada ya Raisi wetu mpendwa imefanya baadhi ya Watu waingiwe na Nongwa.Acha wivu kwa mama yetu.
Kiswahili haina heshima?Ingefaa apewe shahada ya Kiswahili cha Zanzibar
Na Mwenyewe amekiri kuwa hakuistahili kutokana na sababu mbalimbali ( japo ya Uwezo mdogo Kitaaluma hakuisema ) ila Kufurahia kuipata baada ya Kusifiwa katika Wasifu wake Ukumbini.Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Shahada ya kusafiri maana ndicho awezacho kufanya kwa bidii.We ulipendekeza apewe shahada ya nini mkuu?
Mbele ya CCM uchumi huwa haushuki wao kila siku ni mafanikio wakati nchi za ulaya kuna nyakati uchumi hushuka, hawa jamaa wamejaa uongouongo tu.Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
Mtu wa ukanda upi- Pwani au?Tanzania haitapata amani bila fulani aitwe mbinguni./ Hahera Trust me
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?[emoji3064][emoji848][emoji2827]Inashangaza mno kuona rais Samia akitunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa uchumi na chuo kikuu cha Dar es Salaam ilhali nchi ndio kwanza imeghubikwa na hali ngumu ya uchumi kila upande.
Hakuna umeme
Hakuna maji
Mbolea haipatikani
Hakuna ajira
Tozo zimezidi
Deni la taifa linaongezeka
Kasi ya ukuaji wa uchumi imeshuka
Hali ya maisha imezidi kuwa ngumu
Je huo udaktari wa heshima ni ajili ya dhahama hizi?!
Kama anapenda na yeye aitwe “doctor “ kwanini wasingemgawia udaktari wa Kiswahili tu?
PwaniMtu wa ukanda upi- Pwani au?