Shafii Dauda anashikiliwa na jeshi la polisi

Shafii Dauda anashikiliwa na jeshi la polisi

Page zake katika mitandao zinaendeshwa na watumishi wake acha ushamba kama polepole. Shafii alikuwa kituo cha mabatini ila kahamishwa Leo. Tusubiri habari zaidi.
😂😂😂eti Pole Pole aisee haya bana kubwa kisa ni nini sasa
 
Mkuu inaonekana unaujua ukweli,utaki kuweka wazi
Sema nini kilichopo nyuma ya pazia
 
Ina maana yeye ni maarufu sana kila raia amfahumu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Page zake katika mitandao zinaendeshwa na watumishi wake acha ushamba kama polepole. Shafii alikuwa kituo cha mabatini ila kahamishwa Leo. Tusubiri habari zaidi.
Kakutwa na ngada nini, maana watu wa unga wanasafishwa awamu hii ,huku kwetu ununio kuna mkaka anaitwa mfungeni amekamatwa yupo jela, na jirani yangu mwingine anaitwa kiboko yupo jela,, mtandao unapukutishwa aswa
 
Aisee hivi kweli watu wote wa huku Nyankoronko wanamjua shafii???
Huko TV hakuna?au hata habari za michezo husikii japo kwa bahati mbaya?hizo kauli za SHAFII DAUDA ndy nani...ni kauli za KISHUJAA,,,kwenye vitabu ...kama humjuwi hata SHAFII DAUDA utachangia nn humu?means hina unachokijuwa
 
Kwa kuzingatia vyanzo vyangu nyeti huyu ndugu shafii dauda anashikiliwa na jeshi la polisi tangu juma lililopita. Kuna uwezekano anaandaliwa kesi mbaya.

Nitarudi hivi punde.
Mods ondoa huu upuuzi.
Ni sawa na kusema Juma mussa kashikiliwa bila kufafanua
 
Kwani ni nani huyu mpk kila raia amfahamu?
Huo ndy UKUDA wenyewe,,,hivi kama mwenyewe hujielewi utaeleweka kwa wwngine kweli?unapoelekea utakuja kuuliza CLOUDS TV ndy kitu gani,,,wacheni UNAA kuharibu nyuzi za watu
 
Back
Top Bottom