Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,020
Tatizo hujibu hoja unakazania neno UKUDA? we kama amekutuma kuja kumuombea msaada sema sio kulazimisha bwanaako ajulikane kwa kila mtuHuo ndy UKUDA wenyewe,,,hivi kama mwenyewe hujielewi utaeleweka kwa wwngine kweli?unapoelekea utakuja kuuliza CLOUDS TV ndy kitu gani,,,wacheni UNAA kuharibu nyuzi za watu